Recent content by Manyovu

  1. M

    Nisome ipi: Bachelor of Food Science and Technology vs Bachelor of Computer information Security

    Kwa anayejua please Bachelor of science in Food Science and Technology ya SUA wanakubali watu waliosoma PCM au ni lazima uwe na Biology? Nimeangalia website yao entry qualification wamesema Chemistry and Biology/Physics/Nutrition na masomo mengine, kwa uelewa wangu ni kafikiri core subject hapo...
  2. M

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mwl. RCT heshima kwako nimepitia thread nzima leo nimejifunza mengi ambayo nilikuwa sielewi na nimeona fursa kubwa sana hapa. Asante kwa kila mmoja na JF kwa ujumla hii ni shule kubwa. Naahidi muda ukifika nitakutafuta Mwl. Ubarikiwe saana
  3. M

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Asante ndugu kwa mrejesho, haimanishi kuwa sina access na internet ila kuna benki ambazo hazijaonyesha hiyo rate kwenye website zao. Na nilifikiri kuwa Jamii forums kuna watu wenye uelewa and taarifa sahihi ya rates mbalimbali.
  4. M

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Naomba kujua kama kuna benki kwa sasa nchini inayotoa asilimia 15 (15%) faida kwa fixed deposits katika hela ya kigeni. Kwa maana rahisi nataka kujua kama nikiwekeza dola laki moja ($ 100,000) katika fixed deposits kwa sababu nataka kutunza fedha itakayowasomesha watoto wangu huko mbeleni. Je...
  5. M

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Kuna post ni kama ulisema investment kwenye treasury bond beyond five years haina kodi, je ni sahihi? Na endapo nimeamua kuwekeza kwa miaka 15 je wanaweza kunipa faida kwa mwezi au miezi mitatu nikitaka au nitakuwa nasubiri mpaka mwisho wa mwaka? Nimejaribu kupiga kwa milioni mia mbili...
  6. M

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Hi BilltheKID Asante kwa ufafanuzi huu. Inavyoelekea kuwekeza kwenye bond kunalipa na risk ni ndogo ila najaribu kuangalia kuwa nikiwekeza milioni mia moja kwa miaka 7 na inflation ikapanda siku wakinirudishia fedha yangu baada ya miaka saba hata kama ina faida mbili kwa maana ya discount na...
  7. M

    Njoo tukuchimbiye kisima

    Vipi kuhusu Arusha eneo la maji ya chai, una uzoefu au taarifa yoyote ya maji yanaweza patikana baada ya mita ngapi? Na je habari ya kuyapima kwanza kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu kabla ya kuchimba hilo nalo linawezekana? ili isije kuwa tukachimba mpaka mita mia na baadaye tukagundua maji...
  8. M

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Documents zanazotakiwa ni cheti chako original cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa/au affidavity ya mmoja wa mzazi wako na nyaraka zinazoonyesha sababu ya safari k.m shule, biashara, kumtembelea mtu, kazi nje ya nchi etc. Kumbuka lazima uthibitishe kwamba kweli unataka kusafiri otherwise wanaweza...
  9. M

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Hivi kuna benki inayokubali fixed deposits za dola (foreign currency) na kama ndiyo interest rates zao zikoje? Kwa mfano nikiwapa dola 50,000 kwa muda wa miezi mitatu, sita au kumi na mbili watanipa ngapi? Upande wangu naona kuwa itakuwa bora kuweka fixed deposits kwa fedha za kigeni kuliko haya...
  10. M

    Msaada: Nimepigiwa na namba ya ajabu +888888888888

    Ntilavano nafikiri aliyekupigia ametumia Skype, kwani binafsi naitumia na nikimpigia wife mara nyingi anaona namba za ajabu ajabu lakini kwangu alishazizoea.
  11. M

    Hivi hii link ya kuhakiki taarifa za mpiga kura ni halali

    Mimi nimeamua kutake Risk nimeiingiza namba yangu na nimezikuta information ziko sahihi. Ni imani yangu kuwa mtandao uko salama
  12. M

    Kuna tofauti kati ya VISA na Pasport?

    Kuna nchi wanakugongea mhuri na kuonyesha siku utakazokaa hapa ni kwa nchi ambazo kama mtanzania unaruhusiwa kuingia pasipo kuprocess visa ubalozi kwanza au kwa lugha nyingine mtanzania aruhusiwa kuingia bila VISA. Kwa mfano Mtanzania ukiwa na pasipoti yako unaruhusiwa kwenda South Africa lakini...
  13. M

    Benki ipi ina fixed term deposit interest rate kubwa?

    Niliona tangazo la benki ya posta kwenye gazeti ilikuwa inaonyesha 10% kwa mwezi mmoja na inaongezeka kulingana na pesa yako itakaa muda wa miezi mingapi kwa mwaka. Unaweza kutembelea benki ya posta kwa ufafanuzi zaidi
  14. M

    Vitambulisho vya Taifa kwenye Wilaya mpya/Mikoa mipya

    Kwa wale tunaotoka Wilaya mpya/ Mikoa mipya swali la ulizaliwa wilaya ipi unalijibu vipi? Kwa mfano wakati nazaliwa tulikuwa Wilaya ya Kasulu na cheti changu cha kuzaliwa ni Wilaya ya Kasulu lakini kwa sasa kijiji changu kiko kwenye wilaya mpya ya Buhigwe. Ninapoulizwa swali hilo sasa...
Back
Top Bottom