Njoo tukuchimbiye kisima

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Habari wana jf,Tawa water proffesional tunachimba visima kwa bei poa tu kwa wateja waliopo Dar es salaam na hata wale waliopo mikoana bei zetu ni kwa waliopo Dar ni shillingi elfu sitini kwa mita moja unawekewa pamoja na pampu na wale waliopo mikoani tunachimba kwashillingi laki moja kwa mita moja
Karibuni sana

Namba ya simu 0655541948
 
Hiyo.elfu 60 kwa mita dar unaweka na pump nyie wenyewe au pump naweka mwenye kisima hapo hujaweka sawa tukajua unafuu wako
 
Mkoani Tarime unachimba sh. Ngapi?
Nimeshafanya survey tayari maji yapo 105m una charge sh ngapi kwa mita?
 
Mkoani Tarime unachimba sh. Ngapi?
Nimeshafanya survey tayari maji yapo 105m una charge sh ngapi kwa mita?
Mkuu its better ukinitumia report ndio nitajuwa nikucharge kiasi gani maana kuna bei ya maeneo yenye miamba migumu na maeneo ambayo yapo soft
 
Vipi kuhusu Arusha eneo la maji ya chai, una uzoefu au taarifa yoyote ya maji yanaweza patikana baada ya mita ngapi? Na je habari ya kuyapima kwanza kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu kabla ya kuchimba hilo nalo linawezekana? ili isije kuwa tukachimba mpaka mita mia na baadaye tukagundua maji hayafai. Je mnatumia drilling machine au ni ile inayofanyika manually?
 
Hiyo elfu sitini kwa mita, total kisima kinatakiwa kiwe na mita ngapi? Embu nipe total costs. Nataka nimchimbie mama mwenye nyumba kama zawadi ya kuishi vizuri naye hapa... Nataka nikisepa niache legacy... Nipe bei nzuri mdau.
 
Mkuu mita za kisima inategemeana na maeneo kuna maeneo maji yapo karibu na maeneo mengine maji yapo mbali ili uwe na uhakika wa kujua umbali halisi wa water table yako unahitajika kufanya ground water survey sawa mkuu
 
Back
Top Bottom