Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

Swali zuri mkuu
1.Kwa treasury bills minimum ni 500000/= kwa mafungu ya 10000/= mfano unaweza wekeza 550000/= na sio 555000/=
2.Kwa treasury bond minimum ni 1m kwa mafungu ya 100000/= mfano 1500000/= na sio 1550000/=
Kuwekeza kwenye hz dhamana za serikali kuna faida zifuatazo.

1.Serikali haitegemei kukiuka mategemeo ya wadai wake wakati wa malipo( hapa hata tuingie kwenye vita pesa yako utalipwa tofauti na commercial banks ni 50/50).

2.Dhamana za serikali zinahamishika hapa unaweza kuziuza DSE kabla ya mda wake kuiva

3.Dhamana za serikali zinaweza kutolewa kama dhamana kwa ajili ya mkopo(yaani ukishawekeza unaweza kupata mkopo bank yyte kulingana na pesa ulizowekeza,,kama umegundua ktu hapa unawekeza kwenye dhamana then unaenda kuchukua mkopo unapiga biashara unatengeneza faida mara mbili wakati bank unawalipa mdomdo mangi)

4.Faida inayopatikana katika uwekezaji wa dhamana inaridhisha) hakuna commercial bank yyte utakayowekeza upate interest kama za BOT na wengi ni matapeli maana walishanifanyia umafia that's why nimewekeza huku
Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana mkuu ..nina imani umefanya uwekezaji.

Kwa hiyo namba moja apo mkuu naomba ufafanuzi kidogo, hayo mafungu ni yapi?(cjui kama niko sawa)

Nikiwa na mil 5 then nataka niwekeze kwenye treasury bills namba ya mafungu itakuwa ni kiasi gani?

Minimum ni laki 5 chini ya hapo haiwezekani mkuu?

Itachukua muda kiasi gani hadi kutengeneza faida ..kati ya T bills na T bonds ipi una return kubwa mkuu?

Naomba ufafanuzi mkuu. Shukrani sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una maana gani apa?

Toa ufafanuzi kwanini anawapa kichwa BoT?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anavyosema eti Kuwa eti bot wako makini sana! Jumbo la pili ; huu ni ushauri wangu tu: kama mtu unazo hela za mishe mishe na figisu figisu. Km millioni 100 sh na kuendelea halafu unataka kuwekeza kwenye hizo treasury bills jiandae kutembelewa na watu wa tiss na tra. Kwa usawa huu wa magu lazima muwe makini ktk kuwekeza kwenye biashara za serekali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa darasa zur ila naona kuna vitu sijapata maelekezo yake
1.Kwa wawekezaji wa mtaji chini ya milioni tano basi wao watashiriki kwenye mnada kupitia primary dealers ambao kwa urahisi ni mabrokers na commercial banks
Naomba maelezo mazur zaid kwenye hili kwa maana wengi wetu kipato chetu kipo hapa kwa maana ya stage what to to risk zake faida hasara iko wapi kwa ufupi the whole procedures ya hawa Primary Dealers
2. Umezungumzia Faida zaid ya hii biashara kwa maana ya mfano wa Tsh 100 inakuletea faida ya 25 kama utashida tenda ya bond ya 75 so hapa pako sawa je hii biashara haina hasara kama ipo inatokeaje hasara kwenye hii biashara
 
Shukrani sana mkuu ..nina imani umefanya uwekezaji.

Kwa hiyo namba moja apo mkuu naomba ufafanuzi kidogo, hayo mafungu ni yapi?(cjui kama niko sawa)

Nikiwa na mil 5 then nataka niwekeze kwenye treasury bills namba ya mafungu itakuwa ni kiasi gani?

Minimum ni laki 5 chini ya hapo haiwezekani mkuu?

Itachukua muda kiasi gani hadi kutengeneza faida ..kati ya T bills na T bonds ipi una return kubwa mkuu?

Naomba ufafanuzi mkuu. Shukrani sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na 5m utawekeza kama ilivyo Mfano kama ukiongeza kwa bills itakuwa 5010000/= ila hauwezi kuwekeza 5015000/=
Na kwa upande wa Bond kama ukiongeza mtaji itakuwa 5100000/= ila haiwezi kuwa 5110000/=.

Uwekezaji katika bills hauwezi kuwa chini ya laki tano boss!

Faida katika bills inategemea umewekeza kwa mda gani(siku 35,91,182 na 364) kwa io tofauti kati ya bei ya kununulia na malipo ya mwisho(Face value - Cost value) ndo faida,,ila baada ya mnada/auction uwiano hua unatafutwa ili kupata riba
Mfano kuna matokeo ya mda uliofanyika mwaka wa fedha uliopita.
Siku 35 - 6.50%
Siku 91 - 7.01%
Siku 182 - 13.61%
Siku 364 - 15.00%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa upande wa T bond inategemea umewekeza kwa mda upi,,hapa kuna faida mbili
1.(Face value - cost value)
2.Interest rate.(2yrs -7.82%@,5yrs - 9.18%@,7yrs -10.08%@,10yrs -11.44%@,15yrs -13.50%@)

Ukiwekeza beyond 5yrs hakuna withholding tax pindi malipo yanapofanyika.
Malipo huwa hulipwa kila baada ya 6 months ambapo huwa ya ile interest ila maturity date ikifika mfano kama uliweka kwa miaka 2 utalipwa miezi sita ya mwisho ya ile interest pamoja na faida ya ile discount .
Nadhani ntakuwa nimekueleza vzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa darasa zur ila naona kuna vitu sijapata maelekezo yake
1.Kwa wawekezaji wa mtaji chini ya milioni tano basi wao watashiriki kwenye mnada kupitia primary dealers ambao kwa urahisi ni mabrokers na commercial banks
Naomba maelezo mazur zaid kwenye hili kwa maana wengi wetu kipato chetu kipo hapa kwa maana ya stage what to to risk zake faida hasara iko wapi kwa ufupi the whole procedures ya hawa Primary Dealers
2. Umezungumzia Faida zaid ya hii biashara kwa maana ya mfano wa Tsh 100 inakuletea faida ya 25 kama utashida tenda ya bond ya 75 so hapa pako sawa je hii biashara haina hasara kama ipo inatokeaje hasara kwenye hii biashara
Kushiriki T bills na bond kuna soko la kwanza na la upili.
1.Soko la kwanza ni kupitia primary dealers(commercial banks na brokers) hawa kazi yao ni kukufungulia CDS(central depository system) account kukusaidia kuhajaza bid application form ili uweze kushiriki kwenye auction/mnada ambao hufanywa electronically na hapa hakuna bias bid price yako ndo itakufanya ushinde au ushindwe labda ufanye non-competitive bidding.Sasa ikitokea umeshinda hawa dealers utawalipa service charges tu 30000/= na ukishindwa hauwalipi chochote.

2.Soko la upili ni endapo ushafanya uwekezaji then unazitaji pesa zako au kama ulichelewa mnada unaenda DSE kununua au kuuza.

Huu ni uwekezaji ambao ni risk free utegemee faida.Hii ni tofauti na uwekezaji katika hisa ambapo ww unakuwa mmiliki wa kampuni kwa % flani faida na hasara zinakuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi BilltheKID Asante kwa ufafanuzi huu. Inavyoelekea kuwekeza kwenye bond kunalipa na risk ni ndogo ila najaribu kuangalia kuwa nikiwekeza milioni mia moja kwa miaka 7 na inflation ikapanda siku wakinirudishia fedha yangu baada ya miaka saba hata kama ina faida mbili kwa maana ya discount na interest rate sijui kama nitakuwa nimepata faida kubwa kwani inawezekana milioni yangu mia ya sasa baada ya miaka saba isweze kununua bidhaa zinazolingana na sasa. Je ili kuepuka hili wanaruhusu kuwekeza kwenye fedha za kigeni (hard currency)?

Nimejaribu kupiga mahesabu kwa mfano na ufafanuzi uliotoa nataka kuona kama nimeelewa sawa sawa. Mfano milioni mia moja nikiwekeza kwenye treasury bonds na nikapewa discount ya 25% japo sijui kama inaweza fika huko. Maana yake ni kuwa nitawapa 75,000,000 na kila mwaka nitakuwa na uwezo wa kupata milioni 7 ambayo inaweza kulipwa kwa awamu mbili kwa maana ya 3,500,000; hivyo kwa miaka saba jumla ya interest nitakayokuwa nimelipwa itakuwa 49,000,000. Na mwaka wa saba nitarudishiwa milioni mia yangu.

Je kwa mfano huo niko sahihi?
 
Bills na Bond zote hazina risk boss!..isipokuwa faida zinatofautiana kama nilivyoeleza.Ktu kingine serikali ina issue hz treasury ku control inflation pamoja na kupata pesa za kukamilisha budget endapo kuna uhitaji.Hv vtu vyote viwili kwa ww mwekezaji haita athiri faida yako.

Kila mkazi wa jumuiya ya africa mashariki anastahili kushiriki katika mnada wa dhamana za serikali za mda mfupi na mrefu in TSH..foreign currency hazitumiki serikali itapata hasara boss!

Mfano uliotoa ni sawa ila discount inakuwa bid price utakayoshinda sio in %.

Asante kwa ufafanuzi, maelezo yanaeleweka.
 
Web ni ya bank of tanzania na magazeti ni uhuru na the citizen kila ijumaa tangazo la t bills au bond linatoka.Iko hivi kama week hii waki-issue bills basi next week ni bond.
Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya jana kukuPM nabhukunijibu Leo nimeenda Bank kuulizia swali t bills na Bond huwa zinakuwa issued lini ... Aiseeeh nimestaajabika majibu niliyoyapata , yani MTU yuko bank hajui tofauti ya Shares na Bonds

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Bankers wengi hawajui hizi issue ni top secret,wanafichwa na wakubwa wao na hata ukitaka wakuunganishe ushiriki kwenye auction watakwambia hatufanyi maana hawataki kupoteza wateja kwa kuwa wao hawafaidiki, ila karibia bank zote zimethibitishwa na BOT kusaidia customers wake,.Nilijaribu kipindi naanza NMB,NBC na CRDB wote walizingua.Mi bank ambayo marijuana ni CBA

Ila labda nkusaidie boss,bills na bond wanapo issue zna alternate kila week tangazo hutolewa ijumaa then auction inafanyika jumatano then alhamisi results znatoka ukifuatilia kwenye record kwenye web ya BOT utaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom