Nisome ipi: Bachelor of Food Science and Technology vs Bachelor of Computer information Security

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu.

Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor of Computer information Security chuo cha UDOM.

Naomba kujua ktk mambo yafuatayo ili tupate vigezo vya kuchagua

1. Hizo cozi hasa Food science and technology ina husika na nini hasa na mhitimu anatarajiwa kufanya kazi ktk nyanja ipi? Vipi wigo wa ajira/ kujiajiri hapa

2. Hizo KOZI ya Computer information Security ina husika na nini hasa na mhitimu anatarajiwa kufanya kazi ktk nyanja ipi? Vipi wigo wa ajira/ kujiajiri

Wenye ufahamu mnisaidie Tafadhari.
 
Shahada ya sayansi ya chakula n deal sana.. ayo ma IT yamejaa hakuna kibarua mzee
 
Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu.

Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor of Computer information Security chuo cha UDOM.

Naomba kujua ktk mambo yafuatayo ili tupate vigezo vya kuchagua

1. Hizo cozi hasa Food science and technology ina husika na nini hasa na mhitimu anatarajiwa kufanya kazi ktk nyanja ipi? Vipi wigo wa ajira/ kujiajiri hapa

2. Hizo KOZI ya Computer information Security ina husika na nini hasa na mhitimu anatarajiwa kufanya kazi ktk nyanja ipi? Vipi wigo wa ajira/ kujiajiri

Wenye ufahamu mnisaidie Tafadhari.
Hiyo ya IT ni nzuri sana kama una penda mambo ya kompyuta na unapenda kujiajiri. Ningekua wewe ningeisoma hii..

Hii kozi utajifunza mifumo ya pc na zaidi ya yote utajifunza computer security...

Food science iko sua pia ni nzuri ila most likely utasubiri ajira, na nnadhan unajua ajira kipindi hiki cha jiwe zikoje!!!
 
Kwa anayejua please Bachelor of science in Food Science and Technology ya SUA wanakubali watu waliosoma PCM au ni lazima uwe na Biology? Nimeangalia website yao entry qualification wamesema Chemistry and Biology/Physics/Nutrition na masomo mengine, kwa uelewa wangu ni kafikiri core subject hapo ni Chemistry and any of the other subject listed. Lakini mtu mmoja ananiambia ni lazima uwe na Biology sasa nahitaji kujua kama kweli PCM haihusiki ili nimshauri mtoto juu ya hili kwani anachukua PCM A level na anatamani aende kozi hii.
 
Back
Top Bottom