Recent content by Manyengo Snr.

  1. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Utayapata tanzania pekee

    Nchi hii imeoza hakuna kitu,mara waliochukua hela za epa warudishe,namajina ya wauza unga,ninayo majina ya majangili,kuwataja huwataji na hatua hawachukuliwi hatua,basi yeye ni mmoja wao ndomaans hawataji,serikali hii kila kesi wanashindwa kasoro ya babu seya tu.
  2. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Ali Karume atangaza rasmi Tanganyika na Zanzibar kuongozwa kijeshi kama serikali mbili zitakataliwa

    Mguu sawa mguu upande,tunataka jeshi lichukue uongozi wa nchi hata sasa ,nyie wanasiasa na tamaa ya mambo yenu mnatuharibia hii nchi hovyo kabisa,
  3. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Lowassa achanja mbuga; CHADEMA wammezea mate!

    Bado kuliwa tu
  4. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    Wacha wamegane wehayakuhusu hayo,fanya yako
  5. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Wajumbe ndio watakao andika katiba na mwisho ni kwa wananchi wakiikataa mtalaaniwa kwa kula kodi za walalahoi
  6. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

    Hata akifika 2015 afya yake haitomwezesha kuteuliwa ktk nafasi hio
  7. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

    Jambazi
  8. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti uvccm mwanga jafari mghamba ang'atuka nafasi yake....!!

    Mnaandaa mipango ya kupewa hela sio!pimbavuuuuu
  9. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Wa Bunge La Katiba Wawekewe Posho Zao Kwenye Account Zao

    Ww unafikiri kwa kutumia nn? Tatizo lipo wapi wao kupanga foleni,watu wenyewe mmmh hamna kitu
  10. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Kinana Wafyata Mkia Kwa Lowassa

    Wanamuogopa sana,atawa...
  11. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu alivyochemka kwenye BBC HARD TALK

    Rais alisema anawajua wauza unga hakuna kilichofanyika ,wale waliokwiba mihela ya Epa nao akawambia warudishe,wanaoua tembo wanajua hakuna kilichofanyi hii maaana yake wote lao moja hakuna kitu hapo,maskini Tanzania
  12. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Waroho wa madaraka ndo wanataka hio,hovyo kabisa
  13. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Mjumbe aliyelilia iPad Bungeni huyu hapa!

    -------,hajui taarifa hzo ni rasmi lazima ziwe ktk makaratasi
  14. Manyengo Snr.

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Lowasa alishaenda alichoambiwa ili afanikiwe arudishe hela za walipa kodi wa Tanzania,ndio maana anatoa mihela kanisani,misikitini nk,tusubiri yeye ataambiwaje
Back
Top Bottom