Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

Nchi ni mbili tu, Tanganyika na Zanzibar, Tanzania sio nchi ni shirikisho tu, vipi iwe na Rais wakati ni shirikisho ? Kwa mujibu wa katiba ya zanzibar mabadiliko ya 10 inasema Zanzibar ni nchi na mipaka yake. Tanzania sio nchi ni shirikisho.

kwa hiyo wewe ni raia wa nchi gani kati ya hiyo zanzibar yenye mipaka yake au raia wa shirikisho 'tanzania'
 
Mimi mwenyewe na shangaa kwanza itakuwa ni kisilani cha hali ya juu kweli yani nchi moja marais watatu mungu atuepushe na hili balaa.



kuwa na serikali 3 ni kawaida sana,na kwa nini tunatagemea mataifa mengine je sie hatuwezi kuwa na muundo wetu kama sisi mpaka awepo taifa lingine lenye serikali 3?
serikali 3 inawezekana tu ili kuondoa mkanganyiko katika muungano.
 
Mimi mwenyewe na shangaa kwanza itakuwa ni kisilani cha hali ya juu kweli yani nchi moja marais watatu mungu atuepushe na hili balaa.

wewe ndiye unadai upo bunge la katiba kutuletea katiba ya watanzania? Pambaf kabisa. Hivi ni kweli hamuelewi maana ya hizo serikali tatu au manajaribu kudhani kila mtu ni mbumbumbu tu km nyie. Mbona tume imelieleza sana hili kwamba maraisi ni jina tu, na hivo basi badala ya kuangalia majina tuangalie madaraka yao. Rais hapa ni mwnye madARAKA YA KIDOLA NI MMOJA TU NAYE NI HUYU WA MUUNGANO. hao wengine waiteni jina lolote mtakalo. Ningewaelewa kama mngekuwa mnadai iweje nchi moja iwe na maamri jeshi watatu n.k Hamuulizi haya kwa sababu mnajua uraisi unaozungumziwa kuhusu Tanganyika na zananzibar sio uamri jeshi ukuu bali ni jina tu la hao wakuu wa hizo serikali.

Wewe unayejiita Simiyu yetu, ebu basi tumegee kidog huo mfumo wenu mbadala wa muungan o mnaodai umeboreshwa. Maninga serikali tatu bila kutupa alternative ya kuondoa kero za mungano? tumegee basi kuhsu hizo serikali mbili zenu zlizoboreshwa. Du CCM mna mambo...!!
 
Back
Top Bottom