Recent content by MANYEMA2013

  1. M

    JamiiForums Tanzania PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    jamani NSSF kuna udini....vp LAPF, PSPF, PPF, Bandar, PCCB leten data mfano huu uliowekwa hapo juu amasivyo mtakuwa mnapayuka mna ashk majnun
  2. M

    JamiiForums Tanzania PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Ropoti ya CAG ...Muhongo alihalalilsha transfer of shares kwa kampuni fake ya PAP... PCCB mchakato mzima unagubikwa na rushwa....parent ministry ikiwa ya Muhongo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    mnaoleta hoja za udini ktk ripoti ya PAC mmefilisika kifikra ripoti ya PAC ilitokana na ripoti za CAG PCCB na TRA....sasa kipi kilichopindishwa ktk ripoti ya PAC ambacho kimo kwenye ripoti za CAG PCCB na TRA?????? Kazi ya PAC ni tofauti na ile ya kamati teule ya richmond......akina mwakyembe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    watanzania ktk ubora wetu......tunaikataa kazi yote waliyofanya PAC kwa chuki zetu binafsi.... kama ripoti ilikuwa dhaifu....wabunge wa upinzani walikatazwa kuiboresha ktk michango yao au kupitia maazimio kama ripoti ya PAC ilikuwa dhaifu...kwann msemaji wa kambi ya upinzani aliiunga mkono...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    hayo ambayo ripoti ya PAC walishindwa kuyataja yalikuwepo ktk ripoti ya CAG, TRA na PCCB???
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    mnaoponda maprofesa....semeni mlikuwa mnataka uteuzi wa Hawa Ghasia au Assumpta Mshana au Silinde????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    unafaham CV ya Uttoh Ludovick CAG mstaafu? unajua km alikuwa mwalimu mzumbe??? au unapayuka kwa hisia......
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Visit Tanzania kwenye mechi za English Premier League

    website ipi wadau????
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania At 29: I went to porn rehab

    inabid jamii forum waiupgrade tuweze kutumiana pilau kwa kupm ..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Someone to host me in Dar for few days? I'm coming for Interview

    karibu mikocheni....niinbox namba yako. karibu sana utakula utavaa na club utaenda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    kabebwa
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana hata awe mrembo vipi kama anapenda taarabu maksi zinashuka

    mbona wanawake wasioimba taarabu bukoba mbeya njombe na moshi wanatom.be.ka kama kawa mjini. tena wengine wake za watu muache bint apende apendacho bongo fleva mbona ina taarabu...pia weusi roma n ney wa mitego wote mbona wanaimba mashair ya mipasho
  14. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaume wenye kushinda sana kwenye "Social Networks" hufanya sana punyeto

    hapana wengi wao ni mabwa.bwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga ni mbumbumbu wa sheria za mikataba?

    kwanza kajifundishe haya > Claims, Cross claim, > Doctrine of off set > Abatement halafu uje tujadili mkataba wa Okwi section 6,7,8.na 9
Back
Top Bottom