Wadau naulizia borax yakusafishia dhahabu hapa DAR ES SALAAM INAPATIKANA WAPI KWA BEI YA JUMLA,,,KAMA KUNA MTU ANAFAHAMU ANIFAHAMISHE KUPITIA 0674399633
Nina maswali kadhaa
1) Ningependa nipewe majibu na waziri husika hivi kama serikali ina mpango gani wa kuchunguza haya makampuni ya recruitmen ili ijiridhishe kama watanzania wanatendewa haki ama ione kuna umuhimu wakuendelea kuyaruhusu kuendelea na biashara hii?
Serikali ijiulize hivi...
BARUA YA WAZI KWA MAMLAKA HUSIKA ZOTE, JUU YA SWALA LILILOMKUTA SHILOLE KWA KITENDO CHAKE CHA KUONEKANA AKIWA ANATUMBUIZA NCHINI BELGIUM HUKU SEHEMU ZAKE ZA MWILI ZIKIWA NJE MIEZI KADHAA ILIYOPITA,,HALI AMBAYO KISHERIA NI KOSA NANIUKIUKAJI WA MAADILI YA SANAA YA TAIFA LA TANZANIA,JAMBO AMBALO...
Natafuta kazi ya ukondakita. Kwa hapa dar es salaam.......mie muaminifu na mcahapakazi kwa mawasiliano zaid kama unayo gari nishutue email au kwa kukoment .....mymkee@gmail.com
WANAJAMVI NAOMBENI MNISAIDIE JOIN INSTRUCTION YA SHULE YA LUSANGA SECONDARY MNITUMIE KWENYE EMAIL manyasani@gmail.com au whats 0764766574,,,au hata mnisaidie mawasiliano ya mwalimu yeyote hapo shuleni
Jaman tuwaombe waanzisheee bakuri tuchangie hela za ulinzi wa midahalo hio,,,,,,mungu awabariki axape nguvu,,,tupo pamoja sana warioba ni baba yetu na ndugu yetu sisi wanyonge,,,,,ccm wajifunze kushindwa ni jambo la nguvu ya hoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.