JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?

  • Total voters
    273
  • Poll closed .
Sina uhakika sana ila nadhani atashinda atakaye pata kura nying
 
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?

Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA

KWAHIYO unapambana na TWAWEZA au unataka maoni,mbona ishu zingine umeziacha,utafiti wa TWAWEZA haikua URAIS pekee,au hoja ya ccm kuwa inapendwa sana imekubali,ila urais ndo utaki,je UKAWA je
 
Kumbe mabingwa wa matusi wako humu? Kungekuwa na kautaratibu kazuri ka namna ya kuvote. Kuliko utaratibu huu wa kienyeji sana mod ebu fanya vitu vyako wanajamvi wajimwage
 
Wana multiple id kwa sababu hawataki kupigwa sura zao zisipigwe picha. Na hii ni viashiria vya watu kukosa uadilifu. Japo ni mahiri sana kuwanyoshea wengine vidole.
 
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?

Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA
Kwahiyo tunapambana na maoni ya wananchi(TWAWEZA) vs JF members,maana maoni ya TWAWEZA yamekusanywa kwa wananch(kama rasimu ya WARIOBA),mnawalahumu CCM kwa kuyabeza maoni ya wananchi,JE wewe na wenzio mnafanya nini na tofauti bunge la Katiba
 
twaweza ni waganga njaa mpango mzima ni Slaa nawaomba mbadili fikra ili kujikomboa maana ufalme ni mbaya;tujifunze kwa wamarekani maana hawa ccm umekuwa ufalme ona tulipofikia sasa tembo ,madini,gesi ,mafuta hamtaviona hawa wakiendelea kushika usukani!
 
Binafsi nakubali sana utendaji wa Lowassa ila affectionaly namkubali Dr. Slaa.. Ila huu utafiti ningeshauri kungekuwa na kigezo kwamba wanaopiga kura labda wale ambao wana zaidi ya mwaka au mwezi humu.. Zaidi ya hapo zitatengenezwa Id nyingi by mtu mmoja. Then utafiti becomes useless and senseless..
 
Back
Top Bottom