JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

Uchaguzi Wa Urais Ukiitishwa Leo Nani atashinda?


  • Total voters
    273
  • Poll closed .
huu utafiti utangazwe kama ule wa TWAWEZA ili watz wote wajue pia.
 
Ninaumia sana na serikali hii, niliapa kulitumikia Taifa langu na si Chama tawala, sina ubavu wa kupiga kampeni jukwaani ila naanza na familia yangu hatimaye ukoo mzima. Viva commander Siro.
 
Hivi Member wote wa JamiiForum wanajua Kiingereza???

"
[h=3]This poll will close on 15th December 2014 at 19:58 Be advised that this is a public poll: other users can see the choice(s) you selected."[/h] Tuwe wazalendo na Lugha yetu.
 
Mbona Dr.Slaa JF anaibuka mshindi kila siku kazi ipo uraiani huko ndiyo watu hawamtaki.

Una uhakika na hilo? Ebu tupe matokeo urais 2010 pamoja na idadi ya wapita kura.
 
Dr.slaa namba moja, hawa wengine kama lowasa atauza nchi hadi wamasaai watauzwa so mcmtegemee sana
kuhsu pinda ana weredi katka maamuz yuko km rafk yke j.k
 
Back
Top Bottom