Recent content by Mantz

  1. M

    Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee?

    Kama humjui Dotto. We ni mgeni Kinondoni. Huyo ni mzawa asilia kabisa wa Kino. Ukianzisha bifu na Dotto na wewe sio wa Kino. Wana Kino wanakuwa kitu kimoja dhidi yako. Chukua tahadhari kijana.
  2. M

    Fundi Simu: LG G5 Imezima haiwaki

    Simu imeingia maji, natafuta fundi. Nipo DSM
  3. M

    Computer Workshop

    Basic. Nimekuwa nikifanya service za ofisini kwetu tu.
  4. M

    Computer Workshop

    Natafuta kazi Katika computer workshop au Ofisi inayojishughulisha na masuala hayo. Niko Dsm maeneo ya Goba.
  5. M

    Hakuna sheria inayomzuia Lowassa kugombea urais, ukweli huu hapa

    Atastahili au Hatastahili.. Shall be entitled au Shall not be entitled... Hivyo vifungu mmenakili wapi mbona vina mashaka?
  6. M

    Nimepambana hadi nimekuwa ishu, kwa machizi ishu, kwa mademu ishu

    Blue na Nyandu wako pamoja kitambo kabla hata ya blue blue.
  7. M

    Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

    Enzambe episiyo makasi mingi, bakuye na famili kincchaza iko bye na ile kitu bakongolee natumiaga ipo na inapatia mutu yoyote inakuja hapa.
  8. M

    Haya ni baadhi ya majina ya Kimakonde

    chukurubu nchumali raichi
  9. M

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Danford Maynard Mboya - BEBETO (Posta na Simu)
  10. M

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Nimesoma hii topic kwa muda mrefu bila kuchangia chochote, sasa ni muda muafaka nami nichangie. U = Upungufu wa KI = Kinga MWI = Mwilini Swali: Upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na nini? Je! Unasababishwa na HIV? Je! Unasababishwa na malnutrition? Upungufu wa Kinga...
  11. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Congo nenda wewe sisi wa hapahapa
  12. M

    Toshiba Satellite J11 Battery

    Wadau mwenye battery ya laptop - Toshiba Satellite J11 aniuzie.
  13. M

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Hiyo ilikuwa balaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom