Recent content by manto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Joto kali zaidi Dar es Salaam (Excessive heat) unakabiliana nayo aje?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na joto kali sana lililopitiliza ndani hakukaliki wala nje. Wataalam wa hali ya hewa wanasema Dar ina excessive heat, 76% humidity na joto linakadiriwa kuwa 35c na hapo kukiwa na hadha ya kukatika umeme usiku na mchana. Tunashauriwa kwa siku atleast unywe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Walioteuliwa Kwenye Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars hawa hapa

    Tuanzie hapo kwa waziri aliewateua hivi anauelewa mzuri wa michezo kweli au ndio wale vipanga darasani wakapewa tu shavu lisilomuhusu basi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Sasa huyo Richar komba mbona hayupo kwenye list ya waliookolewa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kweli aiseee arudishwe tu mchengerwa hapa mama amekosea sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

    Usimfananishe Mwl. Nyerere na vitu vya kijinga[emoji706]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Afrika | CD DE Agosto Vs Namungo FC, Uwanja wa Azam Complex

    Gooooooooal Namungo 2-1
  7. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hivi Waganda wana tatizo gani?

    Huwa wanatabia ya kujisikia saana na hawakipendi kiswahili kbsa ila binafsi sijui kinachowafanya wajickie ni nini maana kwa east africa wako nyuma kuanzia maendeleo hadi uzuri wa sura watu wengi huwa wanawacheka tu na kuwaangalia.I dnt know what are they proud off!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika Uhuru Kenyatta ana tofauti Kubwa na Wengine EA

    The best president ever among East Africa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

    Tatizo timu ha taifa washaingia wanasiasa kocha hana hamasa hata kidogo kama hayupo vile wanasiasa tu ndo wanahangaika na timu sijawahi ona dunian tff ndo ilitakiwa kulibeba hili kwa akili za kiprofessional sio kukimbia majukumu yao Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Gillete world sport Marambo aka wcw Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Lissu usisahau swala la kuzuiwa kuona bunge live alafu mambo yao ya chama ndo yanaonywesha live Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Mleta mada ni punguwani mkubwa inaelekea hajui hata analosema ila katumwa tu. Ngoja ukue utoto wa viposho usikulaghai!!kwani vitaisha tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Weka Suzuki Escudo new model inahitajima sana sana hii rangi ya kijivu iliyokolea
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi kwanini mnakata umeme sinza kila siku usiku saa tatu hadi asubuhi hii si sawa kbsa Tanesco
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongera shirika la umeme.!!!

    Waapi sinza yote hatujalala na umeme toka jana saa usiku hadi asubuhi
Back
Top Bottom