agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Tpamoja na mvua kubwa iliyonyesha usiku kucha hamjakata umeme.?...haya ni mapinduzi yanayohitaji pongezi.
Tuwape pongezi zao.Hahahahaaaaaaaaaaa
Umesema kweli tupuUkitaka kumteka mwafrika mnyime haki yake Mara nyingi zaidi ila siku utakayompa haki yake mara moja tu atakushukuru sana na kukuona shujaa wake....
Ila ukizoea kumpa ikatokea siku moja tu ukamnyima utakua adui wake wa kudumu
Aisee kwahiyo wametuona mazuzu..?Ukitaka kumteka mwafrika mnyime haki yake Mara nyingi zaidi ila siku utakayompa haki yake mara moja tu atakushukuru sana na kukuona shujaa wake....
Ila ukizoea kumpa ikatokea siku moja tu ukamnyima utakua adui wake wa kudumu
Hata kurudisha mapema wamejitahidi sana..Mitaa yetu ulikatika ila wameurudisha mapema. Nadhani walizingatia miundo mbinu ya uswazi haiko poa tofauti na huko kwenu ushuani wasikowakatia. Ila hongera zao wanajitahidi now days wazee wa ugavi
Sooh poleni sana ..Hapa katika mji nilipo hakuna umeme toka usiku wa manane. TANESCO ni shirika la ovyo kabisa.
Aiseee poleni sisi kwetu raha tu.Waapi sinza yote hatujalala na umeme toka jana saa usiku hadi asubuhi
Hahaha sema unaishi wapi wasikilize ombi lakoMimi wakikata kwa wiki au zaidi huwa wananisaidia sana kubana matumizi
Maeneo ya jirani na ikulu, tunatumia laini moja na ikulu wakate tu ili wanisaidie kubana matumiziHahaha sema unaishi wapi wasikilize ombi lako
hahahahahaahahhahaa hatari sanaMaeneo ya jirani na ikulu, tunatumia laini moja na ikulu wakate tu ili wanisaidie kubana matumizi
Huna haja ya kubana matumizi maana hulipi kodi😀😀Maeneo ya jirani na ikulu, tunatumia laini moja na ikulu wakate tu ili wanisaidie kubana matumizi
Na sumbawanga😀😀Nadhani mkoa wa kigoma wao namba lazima wazisome wakati wa mvua sababu ya radi