Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.

Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.

Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.

One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Daah mnamkosea sana Mwl. JKN. Huyo Pole pole anatabia zote za Umalaya wa kisiasa!

Screenshot_20211014-163552.png
 
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.

Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.

Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.

One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Polepole ni pimbi na zuzu la kisiasa.
Mshamba wa madaraka huyu.
Hawezi fanana na Mwalimu au viatu vya Mwalimu kwa ulinganisho wowote ule.
Huyu mshamba kusifia ma V8 ndiyo kipimo cha ushamba na alikotokea.
Polepole is not a Thinker, never was.

Mtoa mada unaweza kuwa Pole pole mwenyewe ukijipa promo.
 
Mayalla,Mayalla kweli ni wewe au wa hack account yako?Kumfananisha na Nyerere ni sawa na kufananisha Liverpool na Ihefu.No innuendo intended. Ni ujinga wa hali ya juu.
Mkuu Tui , Mwalimu Nyerere was a great man, hivyo kwa mtu anayeonekana ni wa kawaida, kumfananisha na a great man, utaonekana ni glorifying an ordinary man into a great man. Inahitaji mtu mwenye analytical abilities with critical thinking na logical progression. Kiukweli sio wengi humu wanamjua Nyerere kwa kumfanyia analytical analysis hivyo Polepole wanamchukulia poa. Jifunze kitu kinachoitwa critical thinking na logical progression upate analytical abilities. Huu ni uwezo. Jaribu tena kumdurusu Polepole hapa Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Usiuangalie ukawaida wa Polepole, angalia hiyo extra ordinary yake.
P
 
Alikudanganya?
Mbona Mbowe alidanganya kavunjwa sijui mguu na watu wasiojulikana Dodoma kumbe alibugia Faru John.
Alidanganya account zake zilifungwa na TRA kumbe ugonvi wa kifamilia.
Na bado ni mwenyekiti?
Mku hoja ni kioo cha kujipima uwezo wako jitahidi kujua namna kuzijibu.
Kwanza tambua Mimi ni mwanaccm na ktk vikao vyote vya kata yangu naingia kama mwanachama.
Ukweli utasimama kama ukweli kwani hatuwezi kumfananisha Polepole na mwalimu Nyerere kwa lipi.
 
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.

Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.

Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.

One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Kabisa bora huyu mara 100 kuliko Miguru. Kuliko February
 
Ukute huyuhuyu alie andika huu uzi ndo polepole mwenyewe anajikosha humu kuona watamsapot vip uzuzu wake.. We ni steve nyerere na sio Baba wa taifa.
 
Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere.

Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya.

Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema cheche.

One yes tutakupa hii nchi utufikishe nchi ya ahadi tulipokuwa tunapelekwa na shujaa wa Africa.
Nyerere nakupenda wala kuwaringishia watu na ma v8. Huyu ni msakatonge tu kama wewe.
Anafikiri kijamaa lakini unaishi kibwenyenye. Njoo goba uone nyumba yake Afu ulinganishe na ile ya nyerere pale mikocheni.
Unalinganisha kifo na usingizi wewe?mbona hakuyasema hayo alipokuwa chamani? Tuseme kayajua baada ya kifo cha dictator uchwara?????
 
Baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere.
Humjui nyerere wewe. Basi jitahidi kusoma maandiko yake ntakusaidia. Huyu alishiriki kununua wabunge wa upinzani na kuwarudisha kwenye majimbo yaleyale tena kwa dharau kubwa????? Zile gharama za kununua mbunge na kurudi uchaguzi si zingefanya mambo mengine ya maendeleo!
Ulaaniwe wewe na bwana polepole na vizazi vyeti kwa ujuha wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom