Recent content by mansa m

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa kwanini Spika anaandika barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM badala ya Katibu wa Bunge!

    Dogo jifunze kunyoosha maelezo vizuri
  2. M

    JamiiForums Tanzania squid game series inaonyesha maisha ya asili ya tamaa ya pesa

    Wee kweli bundi
  3. M

    JamiiForums Tanzania The University of DODOMA-UDOM

    Kawaulize ni kata gani?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri kuwa mwaminifu ni mtihani

    Kukosa kujiamini tu huko mzee.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

    Ukimuacha hivihivi ataendelea kua na mshkaji huku wewe ukibaki na maumivu makali. Lipiza kisasi mara mia kiasi ambacho maisha yake yote asije kukusahau. Acha kulialia kwasababu ya mwanamke ambae hakutaki. Take action tumia akili kuliko moyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe unashare nasi tushinde pamoja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Story nyingine hizi sio za kusimulia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha janja janja, Bonus hua inaingizwa kwenye account tofauti na inakua na masharti kibao mpaka unyooshe mikono juu Wewe ni wakala unaeipigia promo hio code "zawadi"
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

    Watu wenye hela si ndio matajiri
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Wewe mwenyewe instagram unategemea nini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wewe akaunti yako ina mda gani tokea uifungue
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umeshachanika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting haijawah kua rahisi namna hii
Back
Top Bottom