squid game series inaonyesha maisha ya asili ya tamaa ya pesa

hii series ukimaliza yote na japo inaendelea
View attachment 1973426

toka s1-9.

kiukweli wajapani wanasoma ulimwengu ulivo kuliko sisi tunavo jisoma.

ukisikia mtu kuwa jambazi,mkatili,mfanyabiashara,tamaa,kuchoka kutafuta,kukubali liwe na liwe,kujilipua,kujitoa muhanga na n.k

hivi vyote vina sababishwa na watu kukata tamaa au maangaiko ya mda mrefu bila mafanikio.

hii series kiukweli inaonyesha vitu vingi kuanzia uchu wa kufika malengo,tamaa,udanganyifu,utapeli,kujichoka,kujitoa na n.k


tunaweza kujadili
Mkuu naomba link, nimejaribu kushusha torrent baadhi ya episodes haziplay
 
Nimeiangalia yoote, naipa 5/10, sijaona kitu cha kusisimua saaana!! Ispokuwa tu ina story tofauti na seres nyingi kwa sasa!!
 
Back
Top Bottom