Mh!! Kwa ushauri kama huu kwakwel nchi yetu itabaki kuwa TANZAGIZA milele na milele. Yan drama alioianzisha mkuu wa mkoa isiyokuwa na ushahid wowote leo hii ndio itumike kumuonea huruma yeye? Just imagine ww ndio mtoto wa MANJI halafu baba ako katajwa na akakutwa hauzi wala hajihusishi na...
Pongez kwako mkuu. Unajua psychologically mtu kama hajawah kuumizwa na mapenz tangu abarehe nasahv anamiaka 40 huyo hawez kukupa pole ukimpelekea maumivu yako atakucheka sn
Nahayo maneno ya kuvunja kamati kwan had atoe raisi? Kamati haina m/kit haina katb au, watz ck tukiamka naamn wazung tutawapga gap sana bt now we are still bellow the sea level
Hahahaaaaaaaaa ukiona watu wanapga makofi kwa kauli ka hyo ujue bado tuko chin sn kiuelewa. Na kuiondoa ccm ni ngumu sn kwan 60% of Tanzanians hawana uelewa
Bajet ya serkal ipo kwa ajir ya kurenew miundombinu yake. Lkn misaada ya wahisan kwaajir ya kuwasaidia waathrika imeenda wapi? Fikir kabla ya kutenda. Na ndio maana mfiwa huwa tunampa pole japokuwa tunajuwa kbs kifo ni lazma. Wafariji wajanga kwa maneno hata kama huna kitu na co kuwa kuwatukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.