Serikali ipi duniani imeomba rambirambi kujenga miundombinu?

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
2,041
2,844
zenu wana jf
1483458579402.jpg

Ilekauli ya Mh. Kuwa hakuna inchi iliyo watengenezea wananchi wake makazi duniani kwenye tetemeko la Ardhi. Lakini tukiludisha nyuma kumbukumbu tetemeko la ardhi Italy wazili mkuu wa Italy Matteo Renzo ali sema Selikali watajenga makazi yote, makanisa na sehemu zote zilizo haribiwa
1483458553223.jpg

1483458831208.jpg

Tuachane na hayo hojayangu Mm kuna serikali ipi Duniani imeomba Msaada kwa wananchi kujenga miundombinu??
480daebd3d90327d28548609a6903991.jpg
 
Attachments

  • 1483457875674.jpg
    1483457875674.jpg
    32.3 KB · Views: 24
italy wana hela, serikali ya magufuli ina hela? hata wafanyakazi wa serikali wanaendesha ofisi kwa shida kupindukia hamna hela, izo za misaada itazitoa wapi? tumwombe kikwete ushauri wapi alikuwa anatoa hela.
 
Mbona alisema hakuna serikali ilio wajengea wananchi wake nyumba?
 
Kwani hao wananchi waliokumbwa na tetemeko la ardhi waliomba kukumbwa na tetemeko la ardhi?

Kwa mazingira ya kawaida ya kibinadamu, serikali yoyote duniani huwa inasaidia wahanga wa majanga ya aina ya matetemeko, wakisaidiana na wananchi wenye uwezo wa kiuchumi, ambao husaidia kuchangia ili kuwasaidia walioathirika na hayo majanga.

Kwa hiyo TZ ni Taifa la kwanza duniani, ambapo nchi mbalimbali duniani, Mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya nchi pamoja na watu binafsi yamechangia pesa zao nyingi kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko, lakini kwa bahati mbaya, serikali yetu imeamua 'kudivert' pesa hizo na kuzitumia kwa matumizi mengine!
 
Habali zenu wana jf
View attachment 453884
Ilekauli ya Mh. Kuwa hakuna inchi iliyo watengenezea wananchi wake makazi duniani kwenye tetemeko la Ardhi. Lakini tukiludisha nyuma kumbukumbu tetemeko la ardhi Italy wazili mkuu wa Italy Matteo Renzo ali sema Selikali watajenga makazi yote, makanisa na sehemu zote zilizo haribiwa
View attachment 453883
View attachment 453885
Tuachane na hayo hojayangu Mm kuna serikali ipi Duniani imeomba Msaada kwa wananchi kujenga miundombinu??
serikali ya hapa kazi tu
 
Habali zenu wana jf
View attachment 453884
Ilekauli ya Mh. Kuwa hakuna inchi iliyo watengenezea wananchi wake makazi duniani kwenye tetemeko la Ardhi. Lakini tukiludisha nyuma kumbukumbu tetemeko la ardhi Italy wazili mkuu wa Italy Matteo Renzo ali sema Selikali watajenga makazi yote, makanisa na sehemu zote zilizo haribiwa
View attachment 453883
View attachment 453885
Tuachane na hayo hojayangu Mm kuna serikali ipi Duniani imeomba Msaada kwa wananchi kujenga miundombinu??

italy wana hela, serikali ya magufuli ina hela? hata wafanyakazi wa serikali wanaendesha ofisi kwa shida kupindukia hamna hela, izo za misaada itazitoa wapi? tumwombe kikwete ushauri wapi alikuwa anatoa hela.

Kingine watu wanasahau Ulaya na nchi zilizoendela karibia nyumba zote zina Bima, hata kuna bima ya majanga makubwa kama Kimbunga, tetemeko n.k. hivyo ikitokea hali kama hii Bima pia inalipia!

Sisi Waafrika ni takataka wa mwisho kabisa Dunia hii hata reasoning ndogo kama hii inatushinda, hivi kweli unaweza kulinganisha Nchi ya Italia na JMTZ kwa ngazi yoyote ile?
 
La ajabu kabisa nchi hii huwa inatenga bajeti ya maafa kama majanga ya asili ( tetemeko la ardhi, amfuriko, mabaa ya njaa n.k.)
Sijui pesa hii hufanya kazi gani kama wahanga hawasaidiwi?? Na ni kawaida kabisa watu na mashirika mbaIi mbali kuchangishwa.
 
Habali zenu wana jf
View attachment 453884
Ilekauli ya Mh. Kuwa hakuna inchi iliyo watengenezea wananchi wake makazi duniani kwenye tetemeko la Ardhi. Lakini tukiludisha nyuma kumbukumbu tetemeko la ardhi Italy wazili mkuu wa Italy Matteo Renzo ali sema Selikali watajenga makazi yote, makanisa na sehemu zote zilizo haribiwa
View attachment 453883
View attachment 453885
Tuachane na hayo hojayangu Mm kuna serikali ipi Duniani imeomba Msaada kwa wananchi kujenga miundombinu??
Sio huko tu,hapo uganda wamefanya
 
Kingine watu wanasahau Ulaya na nchi zilizoendela karibia nyumba zote zina Bima, hata kuna bima ya majanga makubwa kama Kimbunga, tetemeko n.k. hivyo ikitokea hali kama hii Bima pia inalipia!

Sisi Waafrika ni takataka wa mwisho kabisa Dunia hii hata reasoning ndogo kama hii inatushinda, hivi kweli unaweza kulinganisha Nchi ya Italia na JMTZ kwa ngazi yoyote ile?
Uganda wamefanya!
 
mimi naona kuomba hela uwasaidie wafiwa halafu unaenda kununua daladala eti itawasaidia watakaposafiri,huu ni ufisadi mavi..
Iran waliwajengea wananchi wake 2003.
 
Kingine watu wanasahau Ulaya na nchi zilizoendela karibia nyumba zote zina Bima, hata kuna bima ya majanga makubwa kama Kimbunga, tetemeko n.k. hivyo ikitokea hali kama hii Bima pia inalipia!

Sisi Waafrika ni takataka wa mwisho kabisa Dunia hii hata reasoning ndogo kama hii inatushinda, hivi kweli unaweza kulinganisha Nchi ya Italia na JMTZ kwa ngazi yoyote ile?
1483463738942.jpg

Soma iyo ukielewa utachangia mada
 
Kingine watu wanasahau Ulaya na nchi zilizoendela karibia nyumba zote zina Bima, hata kuna bima ya majanga makubwa kama Kimbunga, tetemeko n.k. hivyo ikitokea hali kama hii Bima pia inalipia!

Sisi Waafrika ni takataka wa mwisho kabisa Dunia hii hata reasoning ndogo kama hii inatushinda, hivi kweli unaweza kulinganisha Nchi ya Italia na JMTZ kwa ngazi yoyote ile?
Umepanic!! Utakuwa umejipupulia wewe,ukitulia uombe msamaha kwa tusi laki racist uliloandika ili wachache wanaokuheshimu wasikuteme mate. Jitambue
 
Kingine watu wanasahau Ulaya na nchi zilizoendela karibia nyumba zote zina Bima, hata kuna bima ya majanga makubwa kama Kimbunga, tetemeko n.k. hivyo ikitokea hali kama hii Bima pia inalipia!

Sisi Waafrika ni takataka wa mwisho kabisa Dunia hii hata reasoning ndogo kama hii inatushinda, hivi kweli unaweza kulinganisha Nchi ya Italia na JMTZ kwa ngazi yoyote ile?
huyo unayemtetea anatoa mifano ya ulaya wewe hujui unachotetea pole sana. U kati ya watanzania wanne? Sisi tumewachangia wahanga baada ya serikali kusema haitawajengea dunia imechanga and then zimelambwa nae... Kilichofanyika tunamuachia Mungu ahukumu kwa haki maana hilo janga la tetemeko ni natural disasters hivyo Lipo kwenye uwezo wa Mungu huu mtihani anautizama na nyie mlio upande Wa dhuruma tunamuachia Mungu asililize kilio cha wahanga maombi na huruma kwa wahanga Wa tetemeko ndio kilisababisha michango iwe mingi kuiiba am sure hali zenu hamtaishi kwa raha maisha ni mwenu
 
Habali zenu wana jf
View attachment 453884
Ilekauli ya Mh. Kuwa hakuna inchi iliyo watengenezea wananchi wake makazi duniani kwenye tetemeko la Ardhi. Lakini tukiludisha nyuma kumbukumbu tetemeko la ardhi Italy wazili mkuu wa Italy Matteo Renzo ali sema Selikali watajenga makazi yote, makanisa na sehemu zote zilizo haribiwa
View attachment 453883
View attachment 453885
Tuachane na hayo hojayangu Mm kuna serikali ipi Duniani imeomba Msaada kwa wananchi kujenga miundombinu??
Ya [HASHTAG]#Mataputapu[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom