Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA
Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.
Vuta subira Mamaa, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena