Recent content by Manlevi

  1. Manlevi

    Maji ya kunywa katika familia!

    Ebu fafanua mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Manlevi

    Maji ya kunywa katika familia!

    Kuna jamaa ni daktari aliwahi niambia mwilini kuna bakteria wazuri na wabaya, vichaa na machizi huwa hawapigi mswaki hivyo mdomoni mwao huzaliwa bakteria wazuri kwa wingi ambao hupambana na bakteria wabaya pale anapokula vyakula vya majalalani hivyo ni nadra kumuona chizi/kichaa akiugua kutokana...
  3. Manlevi

    UFILIPINO: Rais Durtete ameahidi kujiuzulu kama atatumiwa selfie ya Mtu akiwa na Mungu

    Jamani mtuachie bhangi yetu, acheni kuihusisha kwenye ujinga huu.
  4. Manlevi

    Wanaume kama hawa

    Yaani ndio tabia yangu exactly ndivyo nilivyo
  5. Manlevi

    Wanaume kama hawa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. Manlevi

    Msaada wa kisheria: Dada yangu katapeliwa nyumba Dodoma

    Ninachojua mimi kazi ya mwanasheria unapomuita katika mauziano ya vitu ni 1. Kufanya tafiti na kujua uhalali wa kumiliki na uhalali wa kuuza wa eneo au nyumba husika. 2. Kuandaa nyaraka za mauziano kisheria. Nionavyo hapo wakili hakufanya kazi yake na ikibidi mfungulie kesi mahakamani ili...
  7. Manlevi

    Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Wachangiaji wenye uzoefu na hili jitokezeni tafadhali
  8. Manlevi

    Top 100 companies in Africa,By Revenue

    Tuendelee tuu kuwaungisha TBL
  9. Manlevi

    Jipatie bando la Tigo

    M b.s. n.a.. n. B.s.
  10. Manlevi

    Zuhura Yunus Mtangazaji Wa BBC Swahili!!

    Mungu fundi ujue
  11. Manlevi

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Anayejua range ya mshahara ngazu ya EGASS 5
  12. Manlevi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera kka, ila kuweka X2 ni bira uweke draw no bet- 2
  13. Manlevi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jukwaa limeingiliwa na dhima potofu na ya kitapeli, dhumuni halisi la kuanzisha hii thread ilikuwa ni kudiscuss mikeka. Hizo habali za kununua odds eti fixed games tutalizwa. Lets tuendelee kuganga kibishi kuliko kutapeliwa
Back
Top Bottom