Maji ya kunywa katika familia!

Maji ya kunywa katika familia!

Ubora wa maji unategemea na sehemu, ila nijuavyo mm, sioni sahihi sana kuchemsha maji, sababu wanasema kuna wadudu wana gamba gumu. Ishu ni nyepesi tuu. Nunua madumu ya lita 20 au 25 manne yenye kizibo cha ndani. Jaza maji safi ya bomba. Bana kabisa hakikisha hewa haiingii. Baada ya siku tatu anza kutumia dumu la kwanza, mimina lijaze. Kikubwa weka alama. Yakiisha mimina la pili, endelea na utaratibu huo. Hutosikia cha kuhara wala kuprapra zee kimba. Ndivyo niishivyo bandugu. Simpo like ize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maji ya dar ukiyachemsha ndio unakua kama umeyawekea vidudu..
 
aisee mi nkinywa maji ya kuchemsha naharisha kama sina akili nzuri ila nikinywa ya bomba nakuwa fresh miaka buku. ujue kila mtu na tumbo lake, hebu vuta picha vichaa/machizi je wale wanakunywa maji ya kuchemsha? mbona wanaishi hadi wanazeeka wakiwa wazima kimwili zaid ya uchafu tu?
Kwanini watanzania tunapenda kujifananisha na vichaa ? Sio kiongozi sio wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo kuna aina nyingi za kutibu maji
1.Boiling(kuchemsha)
2.Freezing(kugandisha)
3.kutumia dawa(mfano water gadi) na nyinginezo

Mimi huwa natumia njia iitwayo freezing , nagandisha kwenye friza
Then natoa naweka kwenye ubaridi wa kawaida kwa ajili ya matumizi

Mliosoma microbiology mtakubaliana na mimi

Bakteria waliowengi wanaopatikana katika maji ni thermothilic bacteria ambao wanaweza ku survive tu katika joto la kati ya 35-45 degree Celsius, so unapoweka maji kwenye freezer manake wale wadudu watakufa mana hawataweza kuishi katika joto la hadi ( - 2), baada ya hapo maji yako yatakuwa salama kabisa sawasawa na mtu aliyechemsha tu.

So hii ni njia ambayo kwangu naona ni rahisi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo njia ya kugandisha nimeipenda...!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee dar kuna familia nyingi tu zinakaa kwenye nyumba za maana lkn wanakunywa maji yasiyochemshwa kwny 'dispensa' zao ,wanakwambia familia yetu kubwa maji yale makubwa ya Uhai hatuwezi kuya afford tena.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku hizi dawasco hua wanatuchemshia hukohuko kwenye mitambo yao ya ruvu chini na ruvu juu, we ni kukinga glasi tu na kuipeleka kinywani

Maendeleo hayana chama
 
aisee mi nkinywa maji ya kuchemsha naharisha kama sina akili nzuri ila nikinywa ya bomba nakuwa fresh miaka buku. ujue kila mtu na tumbo lake, hebu vuta picha vichaa/machizi je wale wanakunywa maji ya kuchemsha? mbona wanaishi hadi wanazeeka wakiwa wazima kimwili zaid ya uchafu tu?

So unajifananisha na kichaa sio?No wonder..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ya kugandisha ngoja nianze kuifanya.
 
Vichaa na machizi wana kinga maalumu. Mkuu hebu kwa akili zako timamu jaribu kwenda kula mabaki ya vyakula majalalani uone kama utapata magonjwa au la.
aisee mi nkinywa maji ya kuchemsha naharisha kama sina akili nzuri ila nikinywa ya bomba nakuwa fresh miaka buku. ujue kila mtu na tumbo lake, hebu vuta picha vichaa/machizi je wale wanakunywa maji ya kuchemsha? mbona wanaishi hadi wanazeeka wakiwa wazima kimwili zaid ya uchafu tu?
 
aisee mi nkinywa maji ya kuchemsha naharisha kama sina akili nzuri ila nikinywa ya bomba nakuwa fresh miaka buku. ujue kila mtu na tumbo lake, hebu vuta picha vichaa/machizi je wale wanakunywa maji ya kuchemsha? mbona wanaishi hadi wanazeeka wakiwa wazima kimwili zaid ya uchafu tu?
Kuna jamaa ni daktari aliwahi niambia mwilini kuna bakteria wazuri na wabaya, vichaa na machizi huwa hawapigi mswaki hivyo mdomoni mwao huzaliwa bakteria wazuri kwa wingi ambao hupambana na bakteria wabaya pale anapokula vyakula vya majalalani hivyo ni nadra kumuona chizi/kichaa akiugua kutokana na chakula anachokula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom