Recent content by MANKWI G

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

    wimbo wa kassimu mganga-awena huwa nakumbuka kipindi niko o'level nikimsihi mpenz wangu(mke kwa sasa) kuwa huu wimbo kamwe usituhusu sisi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu analazimishwa kuolewa na mwanamme mwingine wakati bado sisi tunapendana

    nilikuwa napita tu nikapata cha kuuliza, una muda gani tangu ujue kuongea na kuandika kwa lugha ya kiswahili? uandishi wako ndo umenipa kuuliza sorry!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

    kama hizi taarifa ni kweli hili fis.adi lina mkwanja wa kutosha, hivo tulipen urais maana hakuna wizi hapo tena mihela ipo yakutosha tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dr. Slaa

  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio kwenye ndoa na wengine karibuni

    a very good posted idea. kula like ya nguvu mkuu!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio kwenye ndoa na wengine karibuni

    eeimeee!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotayari kuoa/kuolewa na wale walioingia humo tayari

    jaman mbona mi niko ndoan mwaka wa6 then life linaenda vizuri na familia yangu. but what you wrote kinafurahisha na kuna uharisia fulani hivi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimepima mara tatu UKIMWI

    maelezo yako yanalenga nini wewe?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Twende dear

    ndo nini sasa? kwa hili inaonesha wanawake ni matatizo kwa waume zao. kaz ipo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Napoteza ndoa yangu, kisa nimemwambia nilishawahi kutoa mimba kabla ya kuwa nae

    eti kwa waganga? amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hodi naomba mnipokee

    mchemshien na chai maana bado asubuh afungue kinywa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna ulazima mke kumpa mme maji ya kuoga?

    Wanajamvi poleni na majukumu, Jambo hili lilinipa utata baada ya kuona mji fulani mme na mke wanagombana kisa mke jana hakumpa mme wake maji ya kuoga. Swali langu, Je kuna ulazma mke ampe maji ya kuoga mme wake?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue uamuzi wa kuachana na huyu mwanaume, naombeni ushauri

    achana naye asikusumbue akili, mungu atakupa aliye mwema kwako na mkatimiziana mahitaji ya familia.
  14. M

    JamiiForums Tanzania walimu wa msingi mlio magu msipitwe uhondo

    kwanza kabisa heshema kwenu. kama mada ilivo uhondo uko hivi: kwa aliyetayari usafiri bure, ada ya nyumba miez sita na ofa zngne kwa aliyetayari kubadili kituo cha kaz mi nije magu yeye aje sengerema. contact 0765195529/0789333382
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona ajabu kwa mke wangu

    mkuu nitaongea nae nione mambo yatakavokua
Back
Top Bottom