Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

Wimbo upi? Kumbukumbu ipi?

Endless love na no air zinanikumbusha mwehu mmoja niliyewahi kumpenda
 
Azala kiseawa ya Ghatto, nakumbuka anko alitoka tabora akaenda zenji, kipindi kile vijana wengi wa tabora hasa vijijini waliamini ukitaka kutoka lazima uende zenji, bac anko kila akirudi anatuletea zawadi familia nzima, alikuwa na cassette yake anapiga bolingo sana ila mimi nilimkubali sana Gatto mpaka kesho
 
679 - Fetty Wap Feat. Remy Boyz

Unanikumbusha majuzi nikiwa Lenox mall niki-browse ndani ya Nieman Marcus ghafla nikausikia unatwanga kwenye PAS.

Kugeuka nikamwona red bone mmoja akinenguka.....nikasema 'that's what's up'.



*Huyo mchuchu mweupe hapo mwanzoni....she's da bizness**


Oi BBW
 
Last edited by a moderator:
If i culd turn back the hands of tym na when a women love zote za r.kelly zinankumbusha m2 wangu mmoja had leo najuta kumpoteza cz she was realy a wife material had sasa cjapata hata anayemfikia hata kidogo!!so sad
 
wimbo wa kassimu mganga-awena huwa nakumbuka kipindi niko o'level nikimsihi mpenz wangu(mke kwa sasa) kuwa huu wimbo kamwe usituhusu sisi.
 
Wimbo wa mzee wa busara unanikumbusha siku ya kwanza unatoka niliusikiliza radio free africa masafa ya kati mitabendi 1600 kipindi kinaitwa showtime, nakumbuka nilikuwa nachunga ng'ombe zetu takriban 64 mbuzi 40, na kondoo 26 peke yangu, nakumbuka marisho yalikuwa takribani kilomita 8-13 toka nyumbani, #Sitosahau

Duh!!! unaandika lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom