Laing'wanani
Member
- Jul 30, 2015
- 41
- 4
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, mzee Yusuph Makamba, aliwahi kusema haya, 'pale CHADEMA hakuna msafi hata mmoja, ukipenyeza rupia wote watachukua isipokuwa mzee wao yule Dr. Slaa.'
Hata na hivyo, Samwel Sitta alishawahi kusema 'hakuna mwenye sifa ya urais pale isipokuwa Dr. Slaa..'
My take:
Haya leo yametimia, Mbowe kapiga mihela kawapa chenji kina Lissu na wengineo kuwafunga midomo. Kaamua kukubali mgombea kutoka nje as if hakuna mwenye sifa ya urais CHADEMA. Kweli money talks.
Halafu alikuwa anakutafuta akupe na wewe share yako:what: ( KAMA WAGOMBEA WOTE 38 WALIKUWA NA SIFA SAWA, HAPO MNAANGALIA NANI ANAKUBALIKA NA WANANCHI, MSIMCHAGUE MTU KWA DINI YAKE, KABILA LAKE, AU UKANDA, NA MTU ASIPOPATA NAFASI CCM ATATAFUTA NJE YA CCM,..... MSIJE MKALIA MKAKOSA MTU WA KUWAFUTA MACHOZI..!! ni dhahiri mtalia na kujuta ni kama tulipokuwa tunaishangilia t/stars maboresho ya mholanzi m. nooj tuliumia sana, sasa kachukua Master Mkwassa, tumeona uganda sasa tunajiamini, Wacheni na Ukawa tuchukue nchi kupitia kwa Lowassa..!!