Nimeona ajabu kwa mke wangu

Nimeona ajabu kwa mke wangu

alitoa mimba wakati gani???
akiwa na wewe au akiwa na watangulizi wako???
Hata kama alito, sawa, sasa upo nae wewe shida ni nni???
 
mkuu taarifa nimeona mwenyewe kwenye taarifa zake ndani mwetu zna hadi tarehe za matukio. bahati mbaya bnti niliyempa mimba ni yeye na nikaamua kumuoa kwa kufuata misingi ya ndoa.


Usipende kumpekua mkeo(mikoba yake,pochi na simu),unaweza kufa mapema ukamuacha mjane kwa sababu kifua hauna.

Huyo ndio mkeo halali,pengine unatafuta matatizo zaidi aliyonayo mkeo
 
mkuu taarifa nimeona mwenyewe kwenye taarifa zake ndani mwetu zna hadi tarelhe za :tonguez::tonguez:matukio. bahati mbaya bnti niliyempa mimba ni yeye na nikaamua kumuoa kwa kufuata misingi ya ndoa.

Kama kinakuuma mpe talaka unalalamika nini ....Usitusumbue :becky::becky::becky::becky:😱:tonguez:
 
duu! makubwa sana haya. umbea huo ni hatari japo nimeona kwenye kadafutali kakumbukumbu zake mke

Ha ha ha so umeona kwenye diary yake ameandika ametoa mimba siku fulani.
Mwanamke naye ni mpumbavu kwa nini anatunza kumbukumbu ya mambo kama hayo.
Ukisema ufukunyue mambo ya siku za nyuma ya mkeo aisee utamuacha muda c mrefu maana kuna watu C.V zao ni za kuweka mbali na watoto.
 
Ha ha ha so umeona kwenye diary yake ameandika ametoa mimba siku fulani.
Mwanamke naye ni mpumbavu kwa nini anatunza kumbukumbu ya mambo kama hayo.
Ukisema ufukunyue mambo ya siku za nyuma ya mkeo aisee utamuacha muda c mrefu maana kuna watu C.V zao ni za kuweka mbali na watoto.

inauma sana, poa lakn ngoja nitulie. kama aliweza kutoa si anaweza chepuka akapata tena na akatoa? sasa ikitokea hvo tutakua na watoto wangap mkuu?
 
Mchunguze vizuri uenda hata mfereji wa mavi wenzio walisha uzibua na ameishakunywa mapipa ya sperms kwa kuwanyonya miboboo midume wenzio wakati akiwa nawe anajifanya mke mwenye heshima kama malaika vile!Hawa viumbe tunaowaita wake wameficha mambo mengi mazito kuhusu historia yao ya zinaaUzuri ni kwamba wengi hatujui lakini wengi wetu tuliochukua open canals ukweli unabaki pale pale tunakula vibudu!
Inauma sana pindi unapopata kujua hata sehemu tu ya historia ya maisha yao hasa ya zinaa!

Japo inakatisha tamaa na kuumiza sana hasa kihisia lakini kumuhacha huyo haitakusaidia maana ukisema utafute mwingine unaweza ukaangukia pabaya zaidi na mwisho utaishia kuchanganyikiwa hata kufa kabla ya wakati wako.Ila cha kufanya mwambie ili ajue kuwa unajua alivo kimeo na unaishi nae tu ili maisha yaendeMimi uwa namwambia kila ninapokuwa na ushaidi wa uchafu wake uwe wa sasa

au uliopita na ikibidi adhabu nampa vilevile hata kama ni vibao na makofi kiasi!Japo kubadili ya zamani siwezi ila imesaidia kidogo maana mwanzo alikuwa anajifanya mjuaji ila kadili siku zilivosogea nimefanikiwa kumbadili kiasi fulani japo moyo wa mtu ni kichaka!
Mibinti ya siku hizi ione tu ikiwa imevaa nguo utazania watu lakini kwa ndani wengi wameoza vibaya mno.
 
Mchunguze vizuri uenda hata mfereji wa mavi wenzio walisha uzibua na ameishakunywa mapipa ya sperms kwa kuwanyonya miboboo midume wenzio wakati akiwa nawe anajifanya mke mwenye heshima kama malaika vile!Hawa viumbe tunaowaita wake wameficha mambo mengi mazito kuhusu historia yao ya zinaaUzuri ni kwamba wengi hatujui

lakini wengi wetu tuliochukua open canals ukweli unabaki pale pale tunakula vibudu!Inauma sana pindi unapopata kujua hata sehemu tu ya historia ya maisha yao hasa ya zinaa!Japo inakatisha tamaa na kuumiza sana hasa kihisia lakini kumuhacha huyo haitakusaidia maana ukisema utafute mwingine unaweza ukaangukia pabaya zaidi na mwisho utaishia kuchanganyikiwa hata kufa kabla ya wakati wako.

Ila cha kufanya mwambie ili ajue kuwa unajua alivo kimeo na unaishi nae tu ili maisha yaende
Mimi uwa namwambia kila ninapokuwa na ushaidi wa uchafu wake uwe wa sasa au uliopita na ikibidi adhabu nampa vilevile hata kama ni vibao na makofi kiasi!Japo kubadili ya zamani siwezi ila ime
 
Nyie mnauliza tatizo ni lipi?

Hivi hamlioni tatizo?

Dah! hakika JF mapunguani ni wengi.
 
Huyo ni mkeo au hawara???

Mke anatoswa kirahisi rahisi hivi eeeh? Na mpaka umemuoa hukujua???
 
Sioni jipya in that issue, wanawake wengi ndio michezo yao sana hyo. Alaf wakijua umewashtukia wata kuchukia sana (ukiona mtindi umekaa kihasara hasara, sumtyms mwendo na matege ya ajabu ajabu ujue makombo hayo, Kimbiaa. Lol).....umakini unahitajika pindi unachagua mke.... Issue is wanawake wenyewe wenye sifa wanahesabika. Huna ujanja hapo...Ishi nae tu, endelea kulea.
 
Mwanamķe anayetoa mimba ni muuaji achana nae kuna tofauti gani kuua mtoto na kuua mtu mzima
 
Kuongelea tatizo ni nusu ya kutatua tatizo kuliko kukaa nalo moyoni linakula nafsi.
 
Kwahio kinachokuumiza kichwa ni kuwa kuna wajanja wamepiga mpaka wamemjaza Mara mbili?!! Ndio ukubwa huo vumilia tu.

kwani mimba inajazwa kama simtank kwamba unaenda trip za ndoo kadhaa. mimba hata dakika mbili unapata tu ilimradi mwili upo katika hali ya kurutubisha yai.
 
Back
Top Bottom