Sio kazi rahisi kutafuta kiongozi.. Tuwe na subira watanzania.. Acheni watu wafanye kazi yao.. Habari za ukweli ni kesho asubuhi ✌🏿️✌🏿✌🏿✌🏿
Mungu bariki tanzania yangu na chama changu chadema.... Kweli i support u 150% God gave use leaders na akawapa akili yaku anzisha chadema... Let there be leader n there was lissu let there b a party that will stand for poor people like me n there was chadema.. Mungu wangu bariki chama changu na...
Nasubiri bbc jumatatu hapa UK niskie habari ya obama tz maana kweli this is sad... Eti wanachagua watu wakenda kumpokea tena sio sisi watanzania ni wao... Kweli hii kali ya mwaka.
Kweli kabisa tatizo la dar much know kibao watu kazi yao kuuza sura wakati source ya ufisadi ni dar.. Mtu unazaliwa maskini na unakufa maskini hata kama umesoma... Jamani watanzania we need to get rid of them this is our time... Kama mtwara arusha, morogoro, iringa can do why not nchi nzima...
Tatizo tanzania starehe tumeweka mbele kuliko maendeleo pia hatuna common stand.. Yani hawa wasani wa nchi yetu ni wajinga sana huyu diamond juzi tu alikuwa analalmika kuhusu ringtone sijiu ni eti leo anaperform palepale kama sio kukosa akili... CCM ni looser n hii ndio mwisho
Jamani ndungu zangu wakazi wa arusha hili swala sio la mbunge swala hili tulisha lipeleka kwa watu husika ila hukuna kilicho tendeka... So what do you want us to do??? Watu wanalipa kodi kila siku pale sokoni... Je zinakwenda wapi??? Yeye kama mbunge anaweza kufanya kitu kuhusu hili... YES WE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.