Arusha kuchafu sana

Arusha kuchafu sana

Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..

Swala la usafi linatuhusu sote kila mtu kwa nafasi yake Kama ilivyo kwamba sisi ndo wazalishaji wa hizo taka pia tunapaswa kuwa wastaarabu kujua wapi pa kuzihifadhi badala ya kutupa hovyo,na sioni kama kuna sababu yeyote ya kumlaumu mbunge ama meya ktk hili kwani kuna wasimamizi wa majukumu kwa sehemu hizo ni bora basi wangelaumiwa wao,ikiwa ni sokoni yupo pia Mkuu wa Soko husika zipo idara za Soko zenye kuhusiana na usafi,ukiona hazitekelezi majukumu yao ipasavyo waweza sasa kulalamika AMA kuwatolea taarifa ngazi za juu Kama huko kwa mbunge ama meya na kadhalika hawa wasipochukua hatua ndipo sasa tuwalaumu ama kulalamika.je wewe umechukua hatua gani katika hili??
 
Manka4change Kwanini unatoa mapofu kiasi hiki????

Mchaka Mchaka

nakuomba umweleze huyu mdau ya kwamba Malongo anajua mambo ya usafi humu jijini!


Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi ni mkazi wa Arusha Mjini, Jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.

Mimi naipenda sana CHADEMA ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa Arusha ni chafu jamani.. Kama Lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..

samahani, kama sielewi unirekebishe. Hivi mji kuwa mchafu, mbunge anahusika vipi? Mi nadhani halmashauri ya jiji ndo inahusika.
 
ulitaka mbunge akabebe hizo taka kwani wanaokusanya ushuru ni akina nani? kaulize ndio uje hapa kuleta mada
 
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on

local goverment ndiyo inakusanya ushuru sokoni kupitia halmashauri ya wilaya husika, na mojawapo ya matumizi ya hayo makusanyo ni kuhakikisha mazingira (public areas) yanakuwa safi muda wote.
Kama Lema anahusika kukusanya ushuru then ni haki kumbana! Pesa akusanye mwingine awajibishwe mwingine?
Wanaokusanya ushuru wabanwe wahakikishe soko ni safi
 
Jamani ndungu zangu wakazi wa arusha hili swala sio la mbunge swala hili tulisha lipeleka kwa watu husika ila hukuna kilicho tendeka... So what do you want us to do??? Watu wanalipa kodi kila siku pale sokoni... Je zinakwenda wapi??? Yeye kama mbunge anaweza kufanya kitu kuhusu hili... YES WE CAN 2015
 
Lema alisema kama jiji litaendelea kuwa chafu, atahamasisha wananchi waokote taka popote zilipo wakazitupe pale mlango wa kuingilia manispaa. Waliposikia mkuu wa wilaya na wa mkoa pamoja na wadau wengine wakafanya usafi 01.02.2013 Sasa wamejisahau!
 
We sweetlady... Kweli watanzania hatuna akili instead of sayin wht should be don.. Eti nimetumwa maybe alienituma ni babako mdogo...

Tumia kiswahili tafadhar maana najua kiinglish si lugha yetu
 
Jamani mimi ni mkazi wa Arusha Mjini, Jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.

Mimi naipenda sana CHADEMA ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa Arusha ni chafu jamani.. Kama Lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..

unazijua kazi za mbunge?
 
Back
Top Bottom