CCM Arusha yagawa milion 42

CCM Arusha yagawa milion 42

Hapa kata ya Themi tawi la Old Police Line nimewaona Ndarivoi na wenzake wanapokea fungu kutoka kwa wahindi ktk ofisi ya kata ya ccm nadhani ndo pesa ya kazi hii ya kiti cha udiwani kata ya Themi.
Yani hata wakigawa milioni moja kwa kila mpiga kura hapa arusha mjini viti vyote 5 chadema tunachukua ili mjue kuwa arusha hatutaki kabisa habari ya ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura.

Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.
watu wa arusha neema imekuja, kuleni pesa, kura kwa CHADEMA.
 
gagonza tunashukuru sana kwa uzi huu! Ndipo ule usemi itasimama ya kwamba kula ccm kula kulala humu Chama cha Demokrasia na Maendeleo

CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura.

Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.
 
Last edited by a moderator:
Haya maccm pesa za kuhonga wapiga kura wanazo za maendeleo hawana pumbafu kabisa
 
CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura.

Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.

Kula CCM kulala CDM. Wacha warudishe fedha walizoiba kwa wananchi.
 
Daa kipindi cha mavuno wana Arusha changamkeni, ila msisahau kura siri yenu, na shahada zenu msiuze! Hizo ndo zimebeba ukombozi mzima mzima.
 
CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura.

Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.
Kula CCm, Kura CDM, shauri yenu sisiem mmeshafanywa mitaji ya watu. Hali inaonesha mnapigwa vibaya katika kata za Arusha. Bora wanunulieni makatibu kata wenu pikipiki hizo hela. Lakini wakati mwingine nasema pelekeni hizo pesa watu wafaidi maana wamenyonywa kwa muda mrefu
 
Kwi ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwani hayo ndiyo Mawazo Mapya ya Kinana ? Muulizeni hivi wakati Loliondo inauzwa ilikuwa mkoa gani vile ? Halafu ni nani alikuwa mkuu wa Mkoa Vile ? Ya Stan tuyaache kwanza .
 
Changamkieni hizo fedha na fanyeni kinacho? Kinachotakiwa kweli! Lah! Hakiamungu kweli yesu na maria sijui nirudi Arusha kwa muda aisee! Ndg yangu mushi nisipofanikiwa kuja msifanye mzaha aisee kumbukeni kura ni siri hamna noma yoyo! Yoyote kweli

yesu na maria ndio viongozi wa chadema
 
Back
Top Bottom