Recent content by manjoge

  1. manjoge

    Vyuo Vikuu sita vyazuiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka 2016/2017

    Kwani hujuwi tatizo nini mkuu
  2. manjoge

    Duuuh, kweli wanawake wengine!

    Usimsaliti rafiki yako mkomeshe huyo shemeji yako kwa kumuita mchumba wako hapo nyumbani umtambulishe kuwa ni mke wa rafiki yako kapitia kuwasalimia so unataka wafahamiane naamini atakuaga tu hawezi kulala hapo na umlazimishe mchumba ako abaki mlale wote ataona sasa njama zake zimekufa
  3. manjoge

    Usaili utumishi transport officer

    Wadau tusaidieni jamani mbona kimya
  4. manjoge

    Usaili utumishi transport officer

    Jamani ni kawaida kwa watanzania kufanya kazi usiyosomea kwenye qualification walihitaji watu wa takwimu na uchumi so nadhani walishajua tunafit hapo. Nazijua kupitia tangazo lao la kazi wameziorodhesha but nataka kujua zaidi
  5. manjoge

    Usaili utumishi transport officer

    Jamani wadau wenye uzoefu nimeitwa kwenye oral utumishi kada ya transport officer huwa wanauliza maswali ya namna gani me ni mchumi so siko vizuri sana kwenye transportation
  6. manjoge

    Computer yangu haina Sauti!

    Naombeni msaada wenu wadau computer yangu haitowi sauti baada ya kubadilisha window ni flat desktop monitor imeandikwa NEC, CPU ni emachines 3230 pentium 4, 1.5 RAM ilikuja na window Xp nkaweka window 7 ultimate ndo tatizo lilipoanzia!
  7. manjoge

    Msaada wa ushauri!!!

    Habarini za jioni wapendwa, Mimi ni msichana nimeolewa miaka miwili iliyopita tatizo ni kwamba mume wangu anawahi kufika kibo na mawenzi tukiwa katika lile tendo yani dakika 2 nyingi na akitaka round ya pili basi humchukua hata nusu saa na huishia njiani hafiki tena kibo. Kwakweli kama...
  8. manjoge

    Ni external hardisk kama unajua walipo mafundi

    Jamani me pia min-laptop yangu SONY imekufa mazabody nimehangaika sana mafundi wameshndwa n wamenambia no way ishakufa msaada pls. Niliangusha
  9. manjoge

    Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

    Hivi bi dada hadi hapo ulipofikia hujajua dalili za mtu aliyeku-debanji? (fall in love with u) . Ukipanda ubuyu usitegemee kuvuna......... Pia kila mchuma janga hula na wakwao!
  10. manjoge

    Re: Msaada tafadhali

    Babu baba!
  11. manjoge

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Me nilikuwa najua eti Posta kuna bomba kuubwaa ukienda kupost barua inasafirishwa ndani ya bomba hadi inafika ulikotuma!! Thijui kungekuwa na mabomba mangapi!
  12. manjoge

    Habarini za jioni wapendwa!

    Mimi ni mgeni humu jamani tutakuwa wote from now! I like ur views nimevutiwa kujiunga nanyi! Thanx
Back
Top Bottom