Habarini za jioni wapendwa!

manjoge

manjoge

Member
Dec 8, 2012
19
45
Mimi ni mgeni humu jamani tutakuwa wote from now! I like ur views nimevutiwa kujiunga nanyi!
Thanx
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
karibu mgeni wetu, ila huku ni chumbani watu wanalala watupu huku...nashangaa wewe umeingia umeulambaaa
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,357
2,000
Karibu sana......jisikie huru mno........
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,911
2,000
Toa taarifa fasta wewe ni ME au KE? FASTA pliz ili tumuite Babu ODM yule aitwaye Asprin aje akukague.
 
Last edited by a moderator:
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,647
2,000
Karibu sana nyumbani!

From Mr & Mrs Filipo
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom