Computer yangu haina Sauti!

manjoge

Member
Dec 8, 2012
18
45
Naombeni msaada wenu wadau computer yangu haitowi sauti baada ya kubadilisha window ni flat desktop monitor imeandikwa NEC, CPU ni emachines 3230 pentium 4, 1.5 RAM ilikuja na window Xp nkaweka window 7 ultimate ndo tatizo lilipoanzia!
 
KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,063
1,195
Matatizo hayo utawekaje window 7 wakati mala nyingi desktop zinatumia xp

sio tatizo sana nenda jf store ukadownload DRIVERPACK SOLUTION itakusaidia
 
Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,780
2,000
Matatizo hayo utawekaje window 7 wakati mala nyingi desktop zinatumia xp

sio tatizo sana nenda jf store ukadownload DRIVERPACK SOLUTION itakusaidia

desktop mara nyingi zinatumia XP?? You didn't just say that!! Kwa mtoa mada, angalia kama kispika kwa chini karibu na saa pale kama kina alama nyekundu! Kama ndio inamaanisha vitu vitatu! 1. Sauti ipo muted, so toa mute.
2. Speaker zipo disabled, hapa nenda control panel on sounds una rightclick speaker icon na kui enable ila kama hio haiwezekani then ni issue ya 3.
3. Una missing drivers, just update em then itakua poa!
 
KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,063
1,195
desktop mara nyingi zinatumia XP?? You didn't just say that!! Kwa mtoa mada, angalia kama kispika kwa chini karibu na saa pale kama kina alama nyekundu! Kama ndio inamaanisha vitu vitatu! 1. Sauti ipo muted, so toa mute.
2. Speaker zipo disabled, hapa nenda control panel on sounds una rightclick speaker icon na kui enable ila kama hio haiwezekani then ni issue ya 3.
3. Una missing drivers, just update em then itakua poa!
mpaka namwambia hivo ilishawah ntokea

lakn maelekezo yako pia nia mazuri

enjoy++
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom