Recent content by Manji

  1. M

    Nani keshapata? toa ushuhuda

    kama unaniita vile
  2. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni muda wa Ferguson kuachia timu, HANA JIPYA !
  3. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ferguson hana jipya. Nadhani ni muda wa kuachia timu na kupumzika.
  4. M

    Hali ya uchumi Tanzania ni mbaya sana. Nchi iko kwenye crisis kubwa, ni balaa...

    Mods naomba mfute hii thread. Wanalalamika nini wakati wao ndio walimchagua jahcarhire mwaka jana, walikua hawajui?!
  5. M

    Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

    chadema tutachagua kati ya serikali 2.5 au 3.5
  6. M

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Mpaka swahiba Rost za mazizi nae nimemuuliza anakana wala hajui. Huyo kalogwa kwao
  7. M

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    mavi yake huyo jamaa. Yani Tanganyika kama nchi igawane nusu kwa nusu na mkoa??
  8. M

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    ahsante Mungu Baba, nchi yangu Tanganyika hiyoo inakuja!
  9. M

    Kikwete kuongezewa miaka miwili?

    Lazima aongezewe. Binafsi bado ninawadai hela za kampeni nilizowakopa tangu 2005, akiongezewa nadhani wataweza kulipa deni.
  10. M

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    hatimaye huyu kasema kilicho nyuma ya muswada mpya.
  11. M

    Je, una ujumbe kwa NCCR-Mageuzi?

    Fanyeni hima muhamie Chadema. Haileti tija kuwa nje wakati sera zenu zinafanana. Au na nyie ni Chadema-B?
  12. M

    BAVICHA watangaza maandamano yasiyo na kikomo!

    ni wewe au naota?! Ina maana Chadema uongozi hamna? Juzi juzi hapa Heche katuambia ktk facebook tukutane kimara tunaandamana, kwenda hamna mtu eti makao makuu ya chama wamefuta. Leo wewe hapa unakubali kwa kuthibitisha ktk jf maandamano yapo wakati kule fb hakuna Tangazo. Sikiza, wengine tuna...
  13. M

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    tushawachoka na kelele zenu bila vitendo. Si umesema ijumaa? Sasa ole wako maandamano yasiwepo, nitakutafuta znz yote mpaka nikupate then niku cameroon.
  14. M

    Mjadala wa katiba na BBC leo

    kaka invisible, ndio kazi yako hiyo. Tuwekeage basi hapa, wengine tunasagisha mashineni redio wapi na wapi
Back
Top Bottom