Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

Declare current union illegal, says Zanzibar group Send to a friend
Wednesday, 16 November 2011 22:42
digg

By Hamoud Said
The Citizen Correspondent
Zanzibar.A group of Zanzibaris who are against the Union are seeking police permission to hold demonstration tomorrow in their continuing efforts to force the end of the current merger between Zanzibar and Tangayika, some 47 years ago.

In their letter sent to the police here, the group calling itself Zanzibar Rights of Freedom and Autonomy (Zarfa) wants the police to okay the demonstration in Zanzibar streets, which will end with a public rally.
"We will give our reply on the demonstration very soon. Demonstration is people's right but we have to evaluate it before giving a go-ahead," the Zanzibar Town regional police commander Aziz Juma said in a telephone interview when contacted yesterday.

For his part, the leader of the group, Mr Rashid Salum Adiy, said: "We are determined to break the current union because it is illegal."
Last Thursday, the anti-union group attempted to camp at the UN sub-offices in Zanzibar Stone Town, a planned move to force the UN to recognise Zanzibar as an independent State.

"We want the UN to declare the current union between Zanzibar and Tanganyika illegal. We are prepared to stay here for days until the UN complies with our demands," Mr Adiy, said before police convinced the group to move out of the UN premises.Rashid claimed that his group represents opinion of more than 300,000 Zanzibaris who need to end the almost 50-year-old union.
 
Wazenj wanaweza maana wana damu ya kiarabu...


Bila baadhi ya watu kujitoa muhanga basi hatufikii maendeleo. Ndio maana hata Nelsom mandela alikubali kufungwa na hata Lema arusha alikubali kukaa ndani kutetea watu wake.Hiyo inataka watu makini na wasiwe wanafiki.

kazi kwenu.

 
Luti za maandamano haitakiwi kuwa moja tu TAHADHARI!! ili kuwakoroga hao polisi inabidi tuwe na root kama nne katika kila mji! na wakati wengine tukiandamana kwa root tofauti tofauti lazima tuwe na vikosi maalumu ambavyo kazi yake itakuwa kufunga njia kuu za magari na kuwasha moto wa matairi ovyo ovyo ili kuwavuruga kabisa polisi na wakianza kutupiga risasi za moto tunatawanyika kazi inabaki kushambulia gari za serikali ,majengo ya serikali mahoteli ya kitalii mabengi na chochote kile ambacho kinahusiano na serikali.
 
wazenj wanaotaka muungano uvunjwe..... Wapepata maoni ya wananchi wote (na maanisha kura ya maoni) au ni kakikundi kanako waburuza wanzenj wengine? Haki za wazenj wengine izingatiwe.... Hasa wapemba....
 
Wakuu heshima kwenu, MUUNGANO hauwezi vunjika na ukiivunjika bara tutatapata hasara, kuna mzenji mmoja aliwahi kunitonya muungano ukivunjika itabidi tugawane pasu kwa pasu uchumi wa nchi hasa pato la BENKI KUU. kama ni kweli nadhani viongozi wetu itabidi waulinde muungano kwa nguvu zote. hata hivyo mi sikumuuamini.

mavi yake huyo jamaa. Yani Tanganyika kama nchi igawane nusu kwa nusu na mkoa??
 
Natamani kuyaona hayo maandamano maana hotuba ya Rashid Mohamad na wenzake wa CUF iliniuthi sana, Sasa hivi wanajifanya wanaupenda sana muungano wakati walipokuwa nje ya madaraka waliupinga kwa nguvu zote. Siku zote wazenji wakiambiwa ukweli kuhusu muungano wanataharuki sana. Chochote chenye mwanzo kiina mwisho na unafiki nao una mwisho
 
Luti za maandamano haitakiwi kuwa moja tu TAHADHARI!! ili kuwakoroga hao polisi inabidi tuwe na root kama nne katika kila mji! na wakati wengine tukiandamana kwa root tofauti tofauti lazima tuwe na vikosi maalumu ambavyo kazi yake itakuwa kufunga njia kuu za magari na kuwasha moto wa matairi ovyo ovyo ili kuwavuruga kabisa polisi na wakianza kutupiga risasi za moto tunatawanyika kazi inabaki kushambulia gari za serikali ,majengo ya serikali mahoteli ya kitalii mabengi na chochote kile ambacho kinahusiano na serikali.

Borakufa, sidhani kuchoma moto mataili barabarani, kuharibu magari ya serikali, majumba ya serikali, kuvamia mabenki..n.k. ni njia bora ya kupambana na huu mfumo..... mi nadhani wananchi wote tukusanyike pamoja kama vile Mnazi Mmoja, na viwanja vingine vya wazi katika kila mkoa au mji wa hapa Tanzania kama njia ya kuandamana au kupinga mfumo uliopo..... kwa mtazamo wangu kuharibu mali ya serikali ni kujipa hasara sisi wenyewe....... kwa maana kitu ambacho tunapinga ni mfumo mfu wa serikali iliyopo na si mali (assets) ya umma.......

 
Habari njema nawaunga mkono muungano ukivunjika Tanaganyika itafaidika Zanzibar itafaidika lakini wale wazenj waliojazana Dar wajiandae kuondoka mara moja.

CCM haiwezi kukubali hili litokee. Ikitokea muungano ukavunjika sasa hivi ina maan katiba mpya, uchaguzi mpya na Rais anapoteza madaraka yake siku hiyo hiyo. Sasa kwa uroho wenu wa madaraka hamtataka hilo litokee.
 
Mtoto akililia wembe mpe.
Hawa Wazanzibar viongozi wa kisiasa na nyanja zingine waliojaa huku Tanganyika wakibaki wenyewe na kainchi kenyewe ni kagodo naamini ili wote wapate madaraka na ofisi za kufanyia kazi itabidi hata vijiji vigeuzwe kuwa Mikoa na vitongoji kuwa Wilaya.
 
Borakufa, sidhani kuchoma moto mataili barabarani, kuharibu magari ya serikali, majumba ya serikali, kuvamia mabenki..n.k. ni njia bora ya kupambana na huu mfumo..... mi nadhani wananchi wote tukusanyike pamoja kama vile Mnazi Mmoja, na viwanja vingine vya wazi katika kila mkoa au mji wa hapa Tanzania kama njia ya kuandamana au kupinga mfumo uliopo..... kwa mtazamo wangu kuharibu mali ya serikali ni kujipa hasara sisi wenyewe....... kwa maana kitu ambacho tunapinga ni mfumo mfu wa serikali iliyopo na si mali (assets) ya umma.......

SIUNGI HOJA MKONO HARIBUNI ILI TUPATE DEAL YA KUNUNUA VIPYA...hahaha kufa kufaana
 
Ha ha ha ha ha............ Maandamano ya kuvunja Muungano yanaanzia msikitini, hii kali teh teh teh teh teh teh.......... kwa maana hiyo wanataka kuitupia lawama CDM kwamba wao ndiyo chanzo. Yetu macho na masikio. Wameona wamekosa misaada ya Gaddaffi sasa wameamua kulianzisha. Poleni sana Zanzibar. Ila tunachojua SHIMONI hakukaliki tena kwani Kenya hataki tena mchezo na Al Shaabab.
Tabia ya kuishi kwa kutegemea misaada kutoka "arabuni" imewaathiri vijana wengi wa Zanzibar. Ukichanganya na TABIA iliyojiimarisha ya utumiaji wa mihadharati unapata time bomb Alshabab style
 
Nyinyi ndiyo wajinga kabisa, badala ya kuandamana kulaani wabunge wenu wanaoshadadia muswaada wa katiba mpya, eti mnaandamana kupinga Muungano. Kwanini mnaongopa kuukumbatia mbuyu na badala yake mnauzunguka. Suluhu ya matatizo ya Muungano yako kwenye hotuba aliyoitoa Tundu Lissu ambayo inapingwa vikali na CUF wakiongozwa Hamad Rashid. Tundu Lissu amependekeza waziwazi kuwepo kwa serikali tatu Tanganyika, Zanzibar na Muungano. Pia amewapasha CCM kwamba waliingiza mambo yasio kwenye article of union kutoka 11 ya awali hadi 22 ya sasa including suala la mafuta na gas asilia. Lakini kwakuwa ndoa ndoano (mmeza ndoano ya CCM) mnashadadia kama mahayani (CUF MPs). Mmeliwa nyinyi Wazanzibari wabunge wenu ni mamuluki wa CCM. Go to hell, ngoja IGP mwema aje awatwage risasi ndiyo mtajua huyo mwanaume aliyewaoa ni JAMBAZI la kutupwa jehanamu.
Mwenzenu navunjika mbavu huku!!!!!.
 
Hamadi rashidi namkumbuka sana enzi zile akiwa msemaji wa kambi rasmi ya upinzani alipiokuwa anasema muungano huu haufai,lakini leo hii chadema wametoboa kuwa wamewekwa kwenye bunge la jamhuri ili kuwapooza anakasirika huu ndio ukweli,najua wabunge wa cuf wameungana na ccm kuonyesha wao wanautaka muungano ali wakijua zanzibar hawataki hata kusikia hicho kitu kinachoitwa muungano,mimi nilisha wahi sikia mh.jusa kwenye mdahalo ambao ulifanyika zanzibar state university akidai kuwe na provisional ya kuvunja muungano,mh.hamad rashid!
 
Sioni sababu ya wao kuandamana kupinga ukandamizwaji wa mswada wakati wao wanakatiba yao tayari. jiulize bara tunakatiba nyingie zaidi ya ile ya jamhuri ya muungano?.
 
Back
Top Bottom