Recent content by manji h

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya dhambi ya uzinzi

    Non sense Questions... Kuzaliwa uzinzin ni kosa la Alie zaliwa au alie zalisha na kuzalishwa.?? Ni kwa vip Sadaka yake isikubalike kwa kosa ambalo akulifanya yeye..??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Kwaiyo mkuu unawekeza M10 ili upate M7 kwa mwaka..hahaha....Halafu unasahau kitu..iyo M7 unayoipigia hesabu apo ki kama Bajaji itafanya kazi mwaka mzima bila ya kupumzika ata siku moja...kumbuka Kuna hesabu za service na garama zingine za uendeshaji kama Kodi za TRA,Insuarence saivi hadi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Marekan Hana uhatari wowote kwasasa labda zaman...kashapoteza ushawishi na anaendelea kupoteza ushawishi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua simu unayonunua kama ni Brand new au Refurbished

    Akili zako Fupi sana...umepewa options zaid ya tatu..kwanini Ung'ang'ane na option moja ya box...??..Dah hii Nchi Sijui ata tumewezaje kujenga SGR kwa akili Kama Izi..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

    Acha ujinga wewe..Mlikula 5 kwa Upumbavu wenu na kocha wenu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Isack Newton anapewa kuwa most influencial person duniani kuliko Yesu?

    Sijaliweka ili swala kiimani,wala hakuna mahala nimesema wanao amin yesu ni mungu ni wajinga...Nimejibu kutokana na Hoja yake..yeye kasema kua inakuaje binadam anakua mtu maarufu zaid kuliko mungu...Nimemuuliza swali la msingi sana kabla ya kujibu swali lake la msingi..nawewe kama utaweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Isack Newton anapewa kuwa most influencial person duniani kuliko Yesu?

    Tatizo ni kukalilishwa Ila haujaielewa biblia.. Hivi unajua kua Kuna Binadam wana vinasaba Vya Sickle cell lakin sio Wagonjwa wa Sickle cell.,??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Isack Newton anapewa kuwa most influencial person duniani kuliko Yesu?

    Unaandika utazani hauna kichwa mkuu...Umesema watu maarufu si ndio..then ukasema Isack Newton...Then ukasema Mtu huyo alitakiwa kua Yesu,kwa sababu yesu Ni mungu...mbona Unatuchanganya tuelewe kipi...em tuliza kichwa then tuambie ili tujue tuna solve vp malalamiko yako..Yesu Ni Mtu au Ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

    We jamaa ni zero brain na mpuuzi wa mwsho kabisa...kama ni muhalifu huo ndio utaratibu wa kuwashugulikia wahalifu..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa TCU Guide book 2023/2024

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, Naomba kwa mwenye Soft copy ya Iyo Guide book wakuu. Nimeingia Kwenye Page Ya TCU nimeona Tangazo kua ilikwisha tolewa from June 9, ila Nimeshindwa kupata sehem ya Kuidownload
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

    Asante mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: naomba kujua Ada vyuo vikuu vya serikali

    Naomba kujua kama TCU washafungua dirisha la udahir kwa Mwaka wa Masomo 2023-2024 wakuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Kaka nisaidie kwa hili..maana mm ni muhanga wa ili
Back
Top Bottom