Recent content by Manjayo

  1. M

    NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    Mungu waguse viongozi wetu hali ni ngumu. Zungumza na kila mmoja kwa nafasi yake.:yawn:
  2. M

    Enemies Indeed

    What??????
  3. M

    Wenje asambaratisha CCM Sengerema

    Viini macho vinaeleweka mbona!!!!
  4. M

    Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

    Tatizo wanaogopa kujitokeza ajira zitapotea kama sio uhai!!!!
  5. M

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Jamani nisaidieni mwanamke kusema amefika kileleni au kukojoa inakuaje????
  6. M

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Jamani nisaidieni mwanamke kusema amefika kileleni au kukojoa inakuaje????
  7. M

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    walioko madarakani wana uchungu na hii nchi sana aisee!
  8. M

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Jingine ni mawazo yako yasiyokuwa na maana.samahani usije kuwa mtoto nikakukosea inawezekana bado uu mtoto sana,hayo utawaeleza wasioona na kusikia wala kuelewa.Unalipwa sh ngapi?zimekusaidia nini wakati ndugu zako wengi wanumiaaaa! acha u.......a
  9. M

    Mbowe atikisa gereza la Lema

    up****** hii ni nafasi ya kupost fikra zako.ukipost hovyo unaonekana ulivyo hovyo kimawazo.
  10. M

    Picha zilizo nihuzunisha moyoni mwangu ni hizi

    Na viongozi wetu wanaendeleza ufisadi na kujilimbikizia mali zisizokuwa na matumizi.oooh Mungu tazama Africa tupe mioyo ya kuhurumiana
  11. M

    Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    Bado una mda endelea kumwomba Mungu kwa Imani,miaka 32 sio mingi utaolewa na utapata watoto hakuna linalomshinda Mungu.
  12. M

    Wananchi wa Igunga nao wameamua kuua!

    Too sad jamani! Mungu awape faraja mke na watoto wa marehemu.Hali ngumu ya maisha ya waalimu ndio iliyopelekea haya.
  13. M

    Maaskofu wamshambulia Kikwete

    Tukiacha udini tutafanikiwa lakini kwa ujinga huu!!!!!!
  14. M

    Maaskofu wamshambulia Kikwete

    weee! wanatafuta umaarufu kupinga hili? Are you out of your mind?
  15. M

    Mkutano wa madiwani wa CHADEMA - Moshi Mjini kesho

    Nawatakia kila la heri katika mkutano huo.Wanamoshi washajikomboa wengine mwangoja nini?hamjaona tu matatizo yanavyopandana? Watanzania igeni mfano wa Moshi na Arusha!
Back
Top Bottom