MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jan 21, 2012 #4 Huyu kapita mbuga za wanyama au maeneo wanayoishi ndio hatari?
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Jan 21, 2012 #6 Imekuwaje huyu simba mwenye njaa na afya mbovu amemuua mpita njia mwenye afya kama yake pia?
kifinga JF-Expert Member Dec 5, 2011 5,249 9,499 Jan 21, 2012 #7 hii ilitokea kule mkuranga simba alitokea selous game reserve.ila badae wananchi walimtaarifu game akaja kumuua
hii ilitokea kule mkuranga simba alitokea selous game reserve.ila badae wananchi walimtaarifu game akaja kumuua