Recent content by Mangio

  1. Mangio

    Kwanini Ukristo na Uislam unashamiri kwenye nchi masikini na duni kielimu?

    nani anaweza kueleza maana halisi ya dini? unajua inabidi mtu uende mbali sana ili ujue kwa nini hao wenye ngozi nyeupe walitumia dini ili kujiwekea mazingira mazuri ya kutunyonya na sasa wanaona hazina maana tena. Elewa kuwa dini na siasa zinatumika kutawala fikra za binadamu. ukitaka kuelewa...
  2. Mangio

    Kijiji cha misukule feki chafichuliwa Bagamoyo, wachungaji feki wadaiwa kuwatumia kuwahadaa waumini

    hivi watanzania tutaibiwa mpaka lini? sio siasa tu hata kwenye makanisa jamani
  3. Mangio

    After 125 years secret coke formula is out

    oooh now we understand the fact
  4. Mangio

    SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    hayo ndio maisha bora kwa mtanzania! kweli ''the beautiful one has not yet born''
  5. Mangio

    Udhaifu wa Hotuba ya Kikwete ya Machi 2013 huu hapa...

    labda ridhuwani amsaidie
  6. Mangio

    Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

    nakupongeza dada kwa kumwaga ukweli, lakini mmeo alishindwa kusema ukweli akasema anataka ameacha mambo ya utangazaji kumbe kaenda kutangaza........, clouds hovyo vipindi vyao wanatajana majina tu kama nyimbo za Congo @#%$^*&^
  7. Mangio

    Bashe anusurika kutekwa

    haya tena
  8. Mangio

    Ridhiwani Kikwete akanusha tuhuma juu yake na kusema ni uhalifu wa mtandao!

    kweli hapo nashangaaa sana kila siku anajisafisha kuwa sio yake. au anapima joto la watu?
  9. Mangio

    Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

    haaa haaa unajua maisha bwana watu wana namna nyingi za kutoka. Uliona wapi mtu mmoja ana vyeo vyote vya KIMUNGU? Mtume yeye! nabii yeye! sasa hata atajiita mungu maana anataka kujifanya anajua yajayo.
  10. Mangio

    Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

    Hivi mimi najiuliza yale ambayo yalipelekea wao kugoma yalikuwa sio sahihi? Kumbukeni jinsi makundi mbalimbali yalivyowaunga mkono. Mfano taasisi ya haki za binadamu ya Mama Kijo Bisimba wanajisikiaje? Kweli Tanzania bwana kila jambo linaendeshwa kinjaanjaa tu. Wako walioitwa na mheshimiwa...
  11. Mangio

    Nimrod Mkono aitisha CCM

    haaa huyo anafanya mchezo watamkolimba!
  12. Mangio

    Tumebaki na Rais wa Uzinduzi, Safari na Misiba

    hii nchi inatawaliwa na familia na marafiki wa hiyo familia
  13. Mangio

    Maige aliweka sokoni hekalu lake

    kazi ipo arudishe chenji ya serikali
  14. Mangio

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    mimi naona nape alikuwa anachanganya maneno tu hakuweza kushawishi kama kweli chadema wanaua
Back
Top Bottom