hiv huku bongo kuna vidume wajinga hivi...kuna watu wako siriaz na hata email wanatoa! dah nimecheka adi nimekasirika. hiv mnadhani kuna kitu kama hik? inamaana hamjui mnaweza kuwa mnachati na kidume mwenzenu na yuko maeneo ya sinza kwa wajanja? hii haijakaa vizur kwa mn wanaume tunakuwa...
polepole peleka ujinga kule unaropoka tuu kumwabisha rais wetu. nnavomjua magu angeikubali hio hela na kuwasweka ndani waliotaka kumhonga. na hio ndo ingekuwa sbu ya kuonyesha ulimwengu hawa c wema na tungevunja mikataba yote na kuwashtaki. siamini kama hio ni kwel na kama imetoka kwa pole pole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.