Jiunge nasi kwenye biashara ya dagaa kutoka Musoma na mwanza utajirike haraka

NYALITINDINYA

Member
May 14, 2017
57
135
Hakuna longolongo kama unaweza kazi na unataka kujikwamua kimaisha kupitia biashara ndogo yenye gharama nafuu ya kuendeshea na uhakika finyu sana wa hasara hapa ndio mahala pake.

Ungana na SARAJEVO TRADERS ORGANIZATION upate dagaa wenye ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu kutoka Mwanza na Musoma. Wasiliana nasi kupitia namba 0742 132 974 Upate utaratibu wa kujiunga ili uwe wakala popote ulipo. Mzigo utakapokufikia ndio unaruhusiwa kufanya malipo. Asante
 
Hakuna longolongo kama unaweza kazi na unataka kujikwamua kimaisha kupitia biashara ndogo yenye gharama nafuu ya kuendeshea na uhakika finyu sana wa hasara hapa ndio mahala pake.Ungana na SARAJEVO TRADERS ORGANIZATION upate dagaa wenye ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu kutoka Mwanza na Musoma. Wasiliana nasi kupitia namba 0742 132 974 Upate utaratibu wa kujiunga ili uwe wakala popote ulipo. Mzigo utakapokufikia ndio unaruhusiwa kufanya malipo. Asante
Hii inanihusu %100
 
Nipo tayari mkuu Sh ngapi gunia la dagaa wasafi
 
Nasikia harufu ya watu kupigwa pesa hapa, Guys mbona mnawaamisha sana watu utajiri. It seems hii biashara ni scam kabisa.

Nyie wenyewe mnatafuta soko hadi huku JF (Which means mnautafuta huo utajiri pia kwa nguvu nyingi) na mnasema mtapelekea watu mzigo bila malipo mpaka mzigo ufike ndo mlipwe.

Hii strategy na tangazo limekaa kitapeli kabisa na mkitaka at least muanze kuwapa watu hope japo ni biashara ya kuhangaika tu kama nyingine na sio huo utajiri mnaousema nyie.

Na huo utaratibu wa kujiunga obviously mnataka kula fee za watu kwa kuwatamanisha offers nene halafu mnapotea. Kama nyie ni wafanya biashara kweli no need ya watu kujiunga mnatakiwa kutrade na mtu yeyote yule kwani ni vikoba au SACCOS hiyo?

1. Wekeni picha ikionyesha ofisi yenu ya Mwanza na Musoma ikionyesha jina la kampuni
2. Picha inayoonyesha eneo lenu mnafanyia kazi lenye shehena.
3. Transporter mnayemtumia ni nani?
4. Mmeanza hiyo biashara toka lini?
 
well said
 
Nmemutumia sms via Phone Number kimyaa hajajibu,
 
Nyie jichanganyeni mpigwe kiulaini, mtaweza ambiwa mzigo umetumwa na gari limekamatwa na ma afsa uvuvi wanataka shilingi laki 4 waachie mzigo na hivi unakua ulishapewa ahadi kibao za utajiri na wanakwambia wamepakia tani za kutosha na hukuwalipa utaona laki 4 sio ishu ngoja utume.

At the end of the day wakishakulamba pesa za kutosha hutowaona wala kuwasikia tena.

Nawasilisha
 
una akili sana. hakuna biashara mtelezo miaka hii. namshangaa mleta mada, yaani uletewe mzigo wa mamilioni. bila kuweka senti yoyote ya mtaji! bidhaa yenyewe hadi itoke ziwani kuna vibali chungu mbovu+matumizi ya uendeshaji mf. ugali, kuni, mafuta taa kwa ajili ya karabai, petrol ya mitumbwi, wasombaji dagaa, gharama za kuanika na sorting, ununuzi wa gunia si chini ya tzs 1,000, upakiaji-magunia, usogezaji mwaloni, malipo ya makuri, ushuru wa serikali (kiasi km 1000@ mfuko), kukodi malori ya kukuletea wakala. yaani watanzania hawa hawa ndio tumegeuka wa roho nzuri kiasi hiki mtu akuamini akuletee mzigo wa zaidi ya 10,000,000 (angalau fuso 1=tani 7)!!!!!
[HASHTAG]#nimekaa[/HASHTAG] mwalo wa kasenda-chato miaka 2. wakati wa giza dagaa ni nyingi. bei ya chini huwa 10,000-15,000 kwa debe/ndoo kubwa ya lita 20 (wao huita dumu). mfuko hujazwa lau ndoo 10/12/15 hadi 20. fuso kubwa (super great hubeba kati ya mifuko 250-300. piga hesabu wema wa mtz hasa kipindi hiki shilingi imeota tairi!!!
 
Hehehe Kasenda kuvuka Mganza center unashuka chini ziwani sio....! Kweli Kasenda wapo wajuaji wengi sana hasa Wanyarwanda huwa wanafikia hatua na wao wanavuka kwenda visiwani na kufanya biashara kuwa ngumu sana. Halafu leo mtu anakupiga soundi ati atakuletea mzigo mpaka ulipo bila malipo.

Kweli humu duniani kuna vituko sana
 
Hakuna longolongo kama unaweza kazi na unataka kujikwamua kimaisha kupitia biashara ndogo yenye gharama nafuu ya kuendeshea na uhakika finyu sana wa hasara hapa ndio mahala pake.Ungana na SARAJEVO TRADERS ORGANIZATION upate dagaa wenye ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu kutoka Mwanza na Musoma. Wasiliana nasi kupitia namba 0742 132 974 Upate utaratibu wa kujiunga ili uwe wakala popote ulipo. Mzigo utakapokufikia ndio unaruhusiwa kufanya malipo. Asante
Mimi nipo Chalinze, nipe michakato, ni dagaa wasio na mchanga kama wale wa Bukoba au ni hawa full mchanga na kokoto?
 
bora hata nyie mna biashara inajulikana sema watakuja wachache sababu wataona faida ndogo kuna wenzenu wa QNET wanawatapeli vijana waliomaliza chuo wameshawajaza ujinga wameona maendeleo ni kua na gari tu.
 
Back
Top Bottom