Recent content by Mangi1

  1. M

    Sugu, once a criminal always a criminal.,Mbowe experienced Disco Joker (DJ) what a parliament..!

    2000 33567 8734 Mbona huyu unaemsema najua ana masters ya BA? tena UK? wewe vipi bwana mbona huna haya? mie namjua au tuu kwa vile mnaishi Dar basi nyie tu ndo mnaojua mambo kushinde wengine wa nje ya Dar? acha u-jinga wewe
  2. M

    Sugu, once a criminal always a criminal.,Mbowe experienced Disco Joker (DJ) what a parliament..!

    Brother, au ndugu naomba niseme kidogo. Umetumia sayansi ya bible nami nitumie ya jamii. social capital (mitaji ya kijamii)) inayobeba uaminifu (trust); network na norms (maadili ya jamii) imetyoweka tangu CCM ilipokufa alipofariki Mheshimiwa JK Nyerere. Hapa wanainchi wengi walipoteza imani kwa...
  3. M

    Al Qaeda yaitisha Tanzania

    Ni nkuwafukuza wasomali wote. Pia ikumbukwe kuna hela billion 18 shs alikamatwa nazo Advocate Ngalo (bila kukosea kule Arusha), ni mambo ambayo yanaweza kuwafanya watuvamie. Mie naamini executive yetu inalielewa hilo na cabinet ijipange kinamna ya kukabiliana na majanga.
  4. M

    Tusipotoshe umma Rais Uhuru Kenyetta, alimshukuru Rais J Kikwete

    Kenyatta has got a lot of investments in Tanzania for your information and he can not dare to raise his chin against Mr President JK. He has full respect to his counterparty President and people of TZ. Part of his inevestment is Brooks diary company whis has deport suppliers in Arusha, Dar na...
  5. M

    Mahmoud Ahmadinejad working as professor again

    Pia ngalia vizuri waliomzuguka ni mabodigadi kaka. hata hivyo kama maraisi wetu hawakuiba na kufanya hiana pia wanaweza kuwepo na mabodigadi wakaingia fast track bus wakaingia Dar au changombe kufundisha ati
  6. M

    Mke wangu hataki nimguse.... msaada

    Do you have children? if you have children/child she may be at the beginning of issues including post-natal depression. Do you normally socialise? try to bring into place about outing activities such as shopping, swimming, or casually going to visit friends in w/ends. Generally, try to discuss...
  7. M

    Kilichotokea Kenya hata Tanzania kinaweza kutokea...tuchukue hatua!!!

    Kwa mtizamo wangu JK alisanuka kuanza kuwafukuza Mahamiaji haramu.
  8. M

    Ukikosea hapa' wewe kwisha!!

    ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?
  9. M

    Reginald Mengi, Waziri Sospeter Muhongo WASHIKANA Mashati...!!

    sasa kamanda hiyo gas itauzwa kwa nani wakati wahuni hao hao wanaokuja kuchimba ndo wanajua kwa kuiuza?
  10. M

    Reginald Mengi, Waziri Sospeter Muhongo WASHIKANA Mashati...!!

    sasa ndugu serikali yab RUSSIA ikiuza meli moja ya silaha kule IRAni au Syria ni hela ya kutosha. Ni kweli walipobinafsisha reli umeme na vingine vingi serikali iliwagurantor kupitia benki za ndani ambazo zinauwezo wa kukopa nje. Tofauti na bongo benki za ndani hazina uwezo wa kuiambia Benki kuu...
  11. M

    Reginald Mengi, Waziri Sospeter Muhongo WASHIKANA Mashati...!!

    GOVT has not sustainable capital ya kukopa benki za nje au kuwa guarantor. Anaglia kampuni za nje kama Symbion ilibidi USA gvt iwe guarantor for this gas company kukopa anywhere. TZ haiwezi bajeti ya kuendesha nchi kilio.
  12. M

    Reginald Mengi, Waziri Sospeter Muhongo WASHIKANA Mashati...!!

    yap presidah alimchota kutoka Seoul UNI akiwa mkuu wa idara ya mambo ya nyuclear. Jamaa ameandika paper JKkaituma UN na USA ndo iliyoipa TZ leseni ya kuchimba Uranium na UN. Ni mzuri sana JK anamkoma
  13. M

    Mtanzania wa Chelsea akiwa na Mourinho

    nami nahamia Chelsea kutoka MANU
  14. M

    Tanzania ndio nchi iliyoanza kujitenga na jumuiya ya Afrika mashariki na wala aikutengwa

    Mbona miaka yote tunapokwenda kuizka kule bukoba twapitia kwao na kulipa visa jamani? leo hii shida iko wapi? twashazoea kulipa visa kwa hiyo no worries bro
  15. M

    Tanzania ndio nchi iliyoanza kujitenga na jumuiya ya Afrika mashariki na wala aikutengwa

    na bado wakijikoroga kujiondoa Internation criminal cout ndo kwishnei kwani EU watazuia bishara za kutoka Kenya na kuingia Kenya kama vile Commercial airlines. if not kupunguzwa thus chakula na mahitaji mengi watakuwa wanaegemea soko la TZ pia hata semiprocessed mareials kama vile kahawa na...
Back
Top Bottom