Mahmoud Ahmadinejad working as professor again

Mahmoud Ahmadinejad working as professor again

Yaan ndo maisha yanatakiwa hivyo,hawa wa kwetu huoni wanajipanga kujitoa ICC? Kwann?ina maana wana maovu mengi sana.....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Siyo choka mbaya, ni ushahidi kwamba hakuwa muovu kwa watu wake alipokuwa madarakani kama hawa wa kiafrika. Hawa wa kwetu ni waovu kwa hiyo wanaogopa kila kitu. Pia hizi nchi nyingi za kipato cha wastani na juu si fahari "kuendesha" kama huko kwetu. Kuna Maprofessa wana magari zaidi ya matatu ndani ya nyumba zao lakini wanapanda Public Transport kwenda kazini. Ni suala la ufanisi tu wa usafiri wa umma na kutokuwa washamba wa magari.
akipanda usafiri wa basi sidhani kama waliopo humo kwenye basi ni makabwela wa uswazi. tuache kudanganywa napropaganda za kitoto.
 
Nimependa hii kuliko kukaa kuendelea kula pesa za wananchi na unakufa na kunoreka au kuwa kama boga tu.
Bora kurudi kwa akipendacho kufanya inamkeep busy.

Kwani mtu kufata upendacho ndio umaskini? Wengine humu wamesema hayo sababu ya umasikini waliouzoeam

Kweli angekuwa mbaya hivyo wananchi wangemmaliza live.
 
Kwa kweli attitude ya huyu raisi kwa muda aliongoza Iran ilikuwa inanifurahisha sana na ukorofi wake kwa westerners unaniacha hoi hadi leo nabaki kucheka.Jaribuni kurecall speech zake alizokuwa anatoa UN General Assembly.Sikutegemea hata ni proffessor,he has inspired me kwakweli big up ahmednejad.
 
ukwel;i ni kwamba urais kwa nchi nyingine ni kuitumikia jamii ktk position flan na mda ukiisha unatafuta kingine cha kufanya hapa kwetu urais ni ajira kwa iyo mtu akimaliza bado anaendelea kutembea na msafara nadhan rais mstaafu hapa kwetu anaendelea na kusindikizwa na pikipiki, gari mbili za ulinzi pamoja na ya kwake mpaka atapokufa!!!!
 
amazing! Africa kuna kitu cha kujifunza hapa. In Europe and America hii si kitu kigeni, mf.aliyewahi kuwa secretary of State, Condoleza Rice (PhD) wa USA alipostaafu alirudi kufundisha chuo kikuu. nimekuwa nikimsikia pia Rais wa DRC Congo (former Zaire), ndugu Joseph Kabila, akisema akimaliza kilitumikia taifa lake kwa dhamana aliyonayo sasa angependa kusoma uwandishi wa habari na kufanya kazi kama journalist, dunia inasubiri kuona! kwa hapa Tanzania, nimemsikia Mbunge, ndugu Zitto Kabwe akisema ikifika 2015 hatangombea tena ubunge wala wadhifa mwingine wowote bali angependa kufundisha Uchumi katika chuo chochote atakacho pata. ni jambo zuri kwa wote wenye nia hii nzuri, bravo!!!kwani wataalamu wengi Africa wanakimbilia kwenye siasa kwa sababu inalipa zaidi kuliko fani zingine, however, wanaweza kuwa wageni waalikwa (visiting guest/lecturers) katika vyuo vyetu ili kuchochea ari ya kusoma na kujifunza katika fani za uweledi walio nao!
 
I like this man, he is very humble, Intelligent and meticulous.
 
Watapanda baada ya kutafakari walichoifanyia Tanzania kama kilikuwa sahihi ama la wakati wa mihula yao. Ila kama watagundua hawakuifanyia sahihi Tanzania 'take it from me' kamwe hawatapanda 'madaladala'.
Pia ngalia vizuri waliomzuguka ni mabodigadi kaka. hata hivyo kama maraisi wetu hawakuiba na kufanya hiana pia wanaweza kuwepo na mabodigadi wakaingia fast track bus wakaingia Dar au changombe kufundisha ati
 
amerahisisha maisha...... na ndicho kitu kizuri maishani.......
 
ukwel;i ni kwamba urais kwa nchi nyingine ni kuitumikia jamii ktk position flan na mda ukiisha unatafuta kingine cha kufanya hapa kwetu urais ni ajira kwa iyo mtu akimaliza bado anaendelea kutembea na msafara nadhan rais mstaafu hapa kwetu anaendelea na kusindikizwa na pikipiki, gari mbili za ulinzi pamoja na ya kwake mpaka atapokufa!!!!

MZEE RUKSA-MWINYI anatumia tsh800m kwenda kupima presha UK,Mkapa ndio na nchi kahama kabisa
 
Back
Top Bottom