Mengi ni takataka hata kwenye jamii hafai ni mchafu fisadi kuliko kawaida.
Hivi ile kampuni yake ya NICO iliishia wapi?
Mengi ni takataka hata kwenye jamii hafai ni mchafu fisadi kuliko kawaida.
Mengi ni Mtu anaependa Mtelemko hata Rostam aliwahi kusema, Aeleze kwanza Vitalu vya Madini alivopewa kaviendeleza kwa Kiasi gani?, Hata kipindi kile cha Mzee Mwinyi alidai Wazawa hawana Viwanja kati kati ya Jiji alivopewa akamuuzia Muhindi, Ukitaka kitalu cha Gesi weka Mezani Billion mia moja tuone kama utanyimwa, Ela za Bss na Mabaki ya Kamari za Jackpot bingo huwez kumiliki kitalu, Professa Chanja mbuga watu wanadhan Weusi wa Ngozi ni kigezo cha kupata vitu vya bure, kapewa vitu kibao vya Serikal hata kulipa mishahara ya kueleweka kashindwa! Mengi ni Kaburu Mweusi
Hivi tatizo la mengi ni kwamba hatoi rushwa au ni nini? kwa nini ni yeye tu ndio anawekewa vikwazo kila kukicha?
Pole nadhani unamkubali kwa kumwangalia tu kamwe hujapata bahati ya kumfahamu huta lala siku hiyo ukimfahamu ni mchafu wa wachafu.
Pole nadhani unamkubali kwa kumwangalia tu kamwe hujapata bahati ya kumfahamu huta lala siku hiyo ukimfahamu ni mchafu wa wachafu.
nakubaliana na wewe lakini naamini uchafu wake sio kama wa viongozi wa serikali ambao licha ya kutumia matatizo ya nchi hii kupiga hela,bado wanaendelea kuwauzia nchi wageni.hivi ulishawahi kufikiria ni wanafunzi wangapi wameshindwa kuendelea na A level kwa sababu za uhaba wa mashule wakati watu wanaweka bilions of shillings kwenye account zao huko nje ambazo zingeweza hata kujenga mashule mia ya A level?unajua ni akina mama wangapi wanakufa kwa kutokufikiwa na huduma za afya wakati wa kujifungua ili hali bilions za mahela zinaenda mikononi mwa hawa washenzi?usitake kunifanya nilie bro
Mengi kazoea kuibia taifa hili tangu mwanzo sasa tumemchoka.
wengi mmejikita kumshambulia mengi. Sioni mkijibu hoja tpsf kwamba sera ya gesi kwanza kisha kugawa vitalu kufuate. Pili wanataka gesi inufaishe taifa na wazawa kwanza. Hapa haimaanishi mengi ndo apewe, mimi, wewe na na yule ama kila mmoja kivyake au kwa umoja wetu tunaweza kuungana na kama tukifikisha vigezo tupewe kwanza kama wazawa kuliko kukimbilia kutoa vitalu kwa wageni. Sera hii ufuatwa duniani kote kwaenye nchi zinazojali watu wao. Vinginevyo unaweza kuwa na rasilimali zisizofaidisha taifa kama tulivyopoteza kwenye madini. Muhongo atueleze kwanini hataki kufanya hivyo na si kumshambulia mengi personally.
mkuu yani inaumiza kweli ...hawa hawa tuliowaita wakoloni leo tumewabatiza jina wawekezaji !!
Halafu waziri anatoa maneno ya kejeli..!!
yap presidah alimchota kutoka Seoul UNI akiwa mkuu wa idara ya mambo ya nyuclear. Jamaa ameandika paper JKkaituma UN na USA ndo iliyoipa TZ leseni ya kuchimba Uranium na UN. Ni mzuri sana JK anamkomaSamahani hv huyu ni mbunge wa wapi??? Au ndo yule wa Ahsante presidah.
GOVT has not sustainable capital ya kukopa benki za nje au kuwa guarantor. Anaglia kampuni za nje kama Symbion ilibidi USA gvt iwe guarantor for this gas company kukopa anywhere. TZ haiwezi bajeti ya kuendesha nchi kilio.Hivi kule Russia kuna mabilionea wangapi katika sekta ya gesi na mafuta wanaotoka MAREKANI na nchi nyingine za ulaya magharibi? Tufike wakati tuamini tunaweza na kuweza kwetu kutaelezwa ndani ya SERA, SHERIA, KANUNI NA TARATIBU. Tunahitaji rasirimali zetu ziwe kwa manufaa yetu. Kuna watz wamebadili uraia ili waweze kufaidi fursa katika mataifa hasa za kiuchumi. Sisi tunajifunza nini juu ya hilo? Ni sheria ipi katika uwekezaji mkubwa,(sio wa juisi na soda) ambayo inatoa kipaumbele kwa watz. SERA ndio chimbuko la sheria. Hao watakaopewa vitalu watawajibika au wataongozwa na sheria ipi?
Ndipo ninapomchukia Kikwete, hawa mawaziri wake vilaza huwa sijui anawatoaga wapi?
Hii gesi inafanywa siri, tukija stuka imeisha na hakuna lolote tululofaidika kama Taifa, kama ilivyokuwa madini.
Jitahidi kutumia lugha moja. Maana halisi ya kukopa ni kuongeza mtaji, huna mtaji wa kutosha kufanya uwekezaji unaenda kwenye taasisi za kifedha zikusaidie. Serikali haihitajiki kuwa na mtaji, inachofanya ni kuwa na sera bora. Mwekezaji ndie mwenye jukumu la kutafuta mtaji, serikali inaweza kumdhamini katika mkopo anaochukua. Ili kupata mkono kikubwa ni kuwa na andiko na dhamana kwa ajili ya mkopo husika. Si lazima mikopo itoke ndani. Mfano mzuri ni mkopo wa ujenzi wa bomba la gesi.GOVT has not sustainable capital ya kukopa benki za nje au kuwa guarantor. Anaglia kampuni za nje kama Symbion ilibidi USA gvt iwe guarantor for this gas company kukopa anywhere. TZ haiwezi bajeti ya kuendesha nchi kilio.
Hivi kule Russia kuna mabilionea wangapi katika sekta ya gesi na mafuta wanaotoka MAREKANI na nchi nyingine za ulaya magharibi? Tufike wakati tuamini tunaweza na kuweza kwetu kutaelezwa ndani ya SERA, SHERIA, KANUNI NA TARATIBU. Tunahitaji rasirimali zetu ziwe kwa manufaa yetu. Kuna watz wamebadili uraia ili waweze kufaidi fursa katika mataifa hasa za kiuchumi. Sisi tunajifunza nini juu ya hilo? Ni sheria ipi katika uwekezaji mkubwa,(sio wa juisi na soda) ambayo inatoa kipaumbele kwa watz. SERA ndio chimbuko la sheria. Hao watakaopewa vitalu watawajibika au wataongozwa na sheria ipi?
sasa kamanda hiyo gas itauzwa kwa nani wakati wahuni hao hao wanaokuja kuchimba ndo wanajua kwa kuiuza?Jitahidi kutumia lugha moja. Maana halisi ya kukopa ni kuongeza mtaji, huna mtaji wa kutosha kufanya uwekezaji unaenda kwenye taasisi za kifedha zikusaidie. Serikali haihitajiki kuwa na mtaji, inachofanya ni kuwa na sera bora. Mwekezaji ndie mwenye jukumu la kutafuta mtaji, serikali inaweza kumdhamini katika mkopo anaochukua. Ili kupata mkono kikubwa ni kuwa na andiko na dhamana kwa ajili ya mkopo husika. Si lazima mikopo itoke ndani. Mfano mzuri ni mkopo wa ujenzi wa bomba la gesi.