Recent content by Manga ML

  1. Manga ML

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

    Hapana huyu anapenda dudu kupitiliza. Anatamani aanze upya kwa usahihi kukichafua
  2. Manga ML

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

    Masai dada utakufa na nyege zako wewe mana hakuna wa kukutosha
  3. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Marekani azidiwa na Iran, aomba msaada NATO lakini amekataliwa

    Kwahiyo unakubali kwmba ameshindwa kutumi nguvu zao kwa Irani? Hawezi kuzuia meli za wasio maadui zao
  4. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

    Khatari sana
  5. Manga ML

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

    Dada mkarim sana na hana baya kwa watu halaka zangu zilifanya tusionane Arusha dah. Mapumziko mema
  6. Manga ML

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwasikilize washauri wako, ahirisha uchaguzi tuwe na maridhiano

    Ni wapuuzi tu wanaomini mama ana kauli ya mwisho katika chama Labda ushungi wake ndo sababu ya kuchukiwa zaidi ya hapo hakuna. Yani midume iliopo chamani yote yeye ndo awe mtoa amri hilo haliwezekani. Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya mnatumia njia hii muungwa mkono na wapuuzi wasiojielewa...
  7. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

    Acha roho mbaya hata wewe ukiipata hiyo nafasi huweI acha
  8. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kabisa akaletwe kavicha kule kwao kwisha haribika itakua kashuka bei
  9. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hakuna asiejua kama aliondoka kwa sababu yako. Hakuna asiejua kama umefanyia kazi fikla zake ndo zimekupa ubora huu wa sasa
  10. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na hili ndo linalo muondoa maana mawazo yake hayakufanya kazi na baada ya kufata ushauri mambo yameanza kuwa sawa kajishtukia Kona atimke tu.
  11. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hata uongozi umelijua hilo ndo baada ya kutangaza kuondoka wakaona wamfate ili afanye nao kazi wakiamini ubora wake
  12. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kipara anaweza hamishia huko mashambulizi yake pia huenda asianze Natamani awepo mtu wakumnyima Raha Rodri
  13. Manga ML

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Natumai itakua mawazi tu ila hawezi kuongeza muda Mipango inayo indelea nje ya uwanja halimhusu Klopp tena amesha sema nguvu ya ziada hana nitashangaa sana akibaki. Natamani mabadiliko na muda ndo huu.
Back
Top Bottom