Recent content by manga lesha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kutunza uume

    Kiongozi nimekusoma na nmeelewa sana. Big up
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

    Bajeti ni nzuri sana. Watz tupigeni kazi sasa taifa letu likokwenye transition we wir be independent soon. Tuchape kazi kwa moyo wote tujitume sana . TUZALISHE TZ TUNUNUE TZ NA TUWAUZIE VYETU HASA BIDHAA. We will chance my dear brethren Tanzanian.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kuhusu MCC kusitisha msaada wa MCC 2 na shughuli zake Tanzania

    MCC walichokifanya si kizur sana lakini ni kizuri coz wametuonesha madhara yakuwategememezi . Watanzania tunapaswa kujitahidi sana tufanyekazi sana ili tuongeze kipato kwetu na taifa kwa ujumla. America inatufundisha somo na hayo ndio madhara yakutegemea. Watz tupigeni kazi tuuze bidhaa na mazao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

    Nijuavyo mimi hapo mwanzo taifa teule la Mungu lilikuwa Israel. Sasa baada ya Israel kumuasi Mungu aliliadhibu hilo taifa hata Kristo akaja kwaajili ya ukombozi wa kila mwanadam regardless wa taifa gani. Maana Israel walikuwa wateule na walipaswa kuwa kielelezo cha watu wote but they failed to...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

    Myaonayo hayo mjue Mwana wa Adam yu karibu kuja. Take from me Dunia ipembezoni sana tujiandaeni tu kiama ki karibu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwanasa wafanyakazi hewa wa Serikali

    Kwan tatizo ni kwa walim tu! Nchi hii uozo ni mwingi sana. Kwenye Halimashauri zetu ndio kunamambo mengi sana. Lkn kwa kuwa mnatolea mfano mara kwa mara walimu kweli mnawadharirisha sana aisee. Au ndio wanyonge wenu mnasemasema tu. Kwann msiseme hospital !!!!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    Am serious with this English is third language to most of us so don't mind on that, our intention should be on development. And preparing our future of our grands.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    Tunahitaji mtu mzalendo tu anayejua na anapenda taifa kwanza chama baadae.
  9. M

    JamiiForums Tanzania The English of President Magufuli of Tanzania

    None sense. I don't see the fact there. What we need as Tanzanian is development. By the way English is the third language.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Laki tano tu unaweza badilisha historia

    What Masaja said is true to some extent but it is not easy as he think. It need time to organise and program this projects. It is a challenge let's as take as a challenge.
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Oya nahitaji group zuri linaloweza kunitumia faarifa nzuri, video za UKAWA nahitaj whassap group namba yangu 0782195155
  12. M

    JamiiForums Tanzania 'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Duh! Ulikuwa na lengo zuri la kueleza uchochezi wa chadema lakin kwa bahati mbaya sana huwezi kuunda na kuwasirisha hoja ikaeweka vizur jipange upya kabla ya kuropoka.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lowassa wapanga kuzusha fujo kubwa Dodoma

    Ah tunahitaji kiongozi imara kimisimamo,kiafya,mwenye maono,mwaminifu na mzalendo na sikivu zaidi aweze kusimamia vema matumiz ya rasirimali zetu na awetayar kutokupelekwa pelekwa na chama pia wafanyabiashara. Kama Edo,Membe,Mako,Agustino n.k wanazosifa hizo na wapewe nafasi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yusuph Manji ndiye Meya wa Jiji la Dar ajaye

    Ah huyu jamaa angekuwa mwalimu daah!kweli ametoa elimu lakini mwisho katoa pondo .Its not fair
Back
Top Bottom