Recent content by manerick

  1. manerick

    Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

    Hahahaha. Lakini kama ikipata mpisha mzuri utaipenda. Ni nzuri. Labda kama ulikutana na pishi baya kwa sikunya kwanza...
  2. manerick

    Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

    Ni mshangao. Kuna waliotumbuliwa hata kwenye majukwaa ya mikutano ya kisiasa, au hata kuagizwa kuchunguzwa. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  3. manerick

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Ili kuokoa muda na hasara kama hizo, wakulima wengine hununua mbegu iliyotayari kupandwa. Nimepna maeneo mengi hususana Mbeya wilaya za Rungwe na Busokelo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. manerick

    NEC:Tutatoa maelezo mgombea ubunge Korogwe

    Kuna remote na kuna mtu aliyeshika remote hiyo! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. manerick

    Bobi Wine Akamatwa Tena Muda Mfupi Baada ya Kuondolewa Mashtaka

    Wenzetu wanazijua haki zao. Wanaijua demokrasia, hawatishwi na kauli za ki dikteta. Sisi wacha tubaki na uwoga wetu, upole wetu na unafiki wetu. Kivyetu vyetu... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. manerick

    Msaada kuhusu "Tala Tanzania"

    Kuna limit ya kiasi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. manerick

    Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    Mungu huwa hakosei. Sijasikia wakilalamika kukosa mabwana. Nahisi kuna wanaume kadhaa wana wapenzi zaidi ya mmoja. So wamesha cover hio idadi... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. manerick

    25,000tsh kupata local channels startimes!??

    Mi huwa najiulizaga saana! Ivi kwa nini tulihamia digital na kuzima mitambo ya analogy kwa mbwembwe nyingiiii huku tukijua fika sio wa TZ wote watapata hizo FTA TV???. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. manerick

    Tetesi: Ushauri Kuhusu hawa Wanawake

    Wewe sio mwaminifu. Kama ulishakuwa nae mmoja, sasa kwanini uanzishe mahusiano na mwingine??? Be host specific [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. manerick

    Tuambie msosi unaoukubali sana

    Ugali kwa samaki sangala wa kukaanga na nyasi kidogo pembeni na juice ya embe...[emoji4] Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  11. manerick

    Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  12. manerick

    Mbeya haiendani na mahitaji yangu kimapenzi

    Ukimchunguza saana bata, huwezi kula nyama yake.
  13. manerick

    Kilimo cha Parachichi Tanzania

    Mashamba yapo. Wawezapata Rungwe au Njombe. Japo kila wilaya ina changamoto zake. Kama bei, uzaaji, mahitaji nk
  14. manerick

    Ntapata wapi mbegu za uyoga.?

    Ingia www.tanmush.com Ni kampuni iliyopo Mbeya nanenane. Lakink pia katika hii website utapata namba ya meneja na atakusaidia.
  15. manerick

    Kilimo cha Parachichi Tanzania

    Kuna kampuni kadhaa zinazonunua parachichi katika wilaya zinazolima kwa wingi zao hili. Upande wa Mkoa wa Mbeya, wilaya za Rungwe na Busokelo maeneo ya Tukuyu kuna kampuni za Rungwe Avocado Company, Kuza Afroca Ltd, Lima kwanza na Kenya Orchard Logistics. Pia baadhi ya hizi Kampuni hununua Mbeya...
Back
Top Bottom