Bobi Wine Akamatwa Tena Muda Mfupi Baada ya Kuondolewa Mashtaka

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,272
29,876
Mbunge wa Kyadondo nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekamatwa muda mfupi baada ya mahakama ya kijeshi kumuondolea mashtaka ya umiliki haramu wa silaha nchini.

Muda mfupi baada ya kuachiliwa huru, Wine alikamatwa tena na inaarifiwa kwamba anatarajiwa kushtakiwa katika mahakama ya hakimu mkuu kujibu mashtaka ya uhaini pamoja na wabunge wengine waliokamatwa.

Mbunge huyo ambaye pia ni mwanamuziki nchini kwa jina maarufu Bobi Wine leo aliwasilishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huko ataachiwa tu waganda sio watu WA mchezomchezo..M7 mwenyewe kagwaya mtaani vijana wamemuwashia moto hii filamu ni tamu na ni into kwa madicteta wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangepatinaka vijana 100 tu kama bobi wine!Bongo vyuma vingeachia!napenda sana ule usemi wake "Brother am not fight to you am fight for you"

Sent by Diaspora
 
Raid Magufuli akajifunze Uganda kudhibiti Wahuni walijifcha kwenye chaka la Siasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom