Recent content by manem

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hostel DIT main campus

    Wakuu msaada kuhusu utaratibu wa kupangiwa hostel za ndan ya chuo kwa wanafunzi wa DIT (level ya degree) ukoje? au nao wanawapa kipaumbele wanafunz wa first year? msaada please
  2. M

    JamiiForums Tanzania IFM selected students 2016/2017

    Kwa wale walioichagua ifm majina yametoka pitia kujua kama ni mmoja wao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Diploma holders mkosi gan huu tulionao jaman?

    Tuliapply mwezi wa tano through nacte tukaambiwa selection mwezi wa saba ikawa hola Wakatubadilishia gia angani kutoka Gpa ya 2.7 tuliyoambiwa mwezi wa tano hadi 3.5 ambayo ni ngumu sana kuipata (hata wao walioipendekeza wengi wao hawana) Wakala hela zetu za application na bodi ya mikopo hadi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari...

    Wakuu, Nimechaguliwa kujiunga na chuo cha ADEM bagamoyo kwa level ya diploma, naomben msaada kwa yeyote aliyechaguliwa hapo na ameshapata Join instruction au namba ya simu ya wahusika ili tufanye utaratibu wa kuipata. Msaada wenu ni wa thaman sana katika kulifanikisha hili...Asante.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nisome diploma ipi ili nijinasue kutoka hapa nilipo?

    Hapana kiongoz ada yake ni 755,000 kwa mwaka na si 600,000 mim nimemuombea mtu hicho chuo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadilisha chuo na kozi

    Katika updates mbalimbali walizotoa nacte walisema "kwa wale wanaotaka kubadilisha vyuo na koz wasubirie mpaka second selection zitoke watatoa taratibu juu ya watu wenye matatizo kama yako.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeona Kitu Kwenye Selection

    Jaman mim naona tunapata shida bure kufikiria yasiyowezekana, kwa mim nilivyoielewa ile tarehe 31/8 inahusu watu wa waliomba diploma na certificate ila kwa kuwa na sisi tuliomba kupitia nacte na system tunayotumia ni moja ndiyo maana hiyo tarehe imeaffect mpaka profile zetu. Na uhakika haiwezi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

    Lakin tuangalieni na hiyo correction kwa mujibu wa mwalimu jibu lake ni 'zuarter' hiyo zuarter ndiyo kitu gan maana mim kwenye kayumba niliyopitia sikuwah kufundishwa kitu kama hicho halfu ndiyo tumjaji mwalimu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

    Kama comment zote za wadau hapo juu hujaelewa si upotezee tu? maana siyo lazima ucomment kila thread unayoiona nyingine pita pemben kwan zinakuwa hazikuhusu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa St. Joseph wafungua kesi ya kudai Sh6 bilioni kutoka kwa TCU

    umemaliza chuo mwakagan
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeona Kitu Kwenye Selection

    tangu jumatatu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tujuzane nini kinaendelea NACTE

    Kwenye profle zetu ile sehemu waliokuwa wanaandika wait for selection sasa hivi wameimodify imekuwa 'wait for selectio wich expected to on 31st August 2016'
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

    We ndugu yangu nadhan si mfanyaka wa serikalin wenzako kuanzia tarehe 22 wanakula jasho lao wewe ushazoea mshahara wako mpka tareh 33 hukoooo ndiyo maana unashangaa kuona walimu wanaulizia tarehe 22 ni kwa sababu wanazijua tarehe zao mkuu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva zilipendwa audio 2012 to the past

    Daaaaah! maneno yaliyomo humu ndan hakiyanani kama demu upo nae geti na anazingua akiusikiliza lazima atepaete hatariii
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva zilipendwa audio 2012 to the past

    Wakuu huu uzi ni pendekezo la wadau na wapenz wa bongo fleva. Hapa tutataja wimbo/nyimbo ya/za bongo fleva za zaman unayoikubali/unazozikubali na kuiapload aka kuiweka ili kila mdau atayevutiwa aweze kuipakua kwa raha zake. Karibun sana.
Back
Top Bottom