Msaada: Nimeona Kitu Kwenye Selection

Hata kwangu imeandika hivyo mkuu hili suala LA kuwa selection imefanyika si kweli cause kwa utafiti wa haraka haraka ni diploma wengi wameandikiwa hivyo, ss je selection ya kwanza imejumuisha form 6 pekee?
 
Wakuu Habari Zenu!
Leo Naona Kwenye Profile Yangu Ya TCU wameniandikia Hivi:-
"Now Wait for Second Selection which is Expected on 31/08/2016"
Sasa Hapa Pamenipa Wasi Wasi Wa Kuhisi Kwamba Katika First Selection Nimetupwa Nje Ya Fence!
Kwa Wale Wazoefu Hebu Nifahamisheni Je, First Selection imeshafanyika? Au Huwa Wakiandika Hivyo Wanamaanisha Nini?
View attachment 386836
Mkuu iyo "NA" inamaana gan maana siielewi
 
Hata kwangu imeandika hivyo mkuu hili suala LA kuwa selection imefanyika si kweli cause kwa utafiti wa haraka haraka ni diploma wengi wameandikiwa hivyo, ss je selection ya kwanza imejumuisha form 6 pekee?

Kwanza Kabisa Nikwamba Diploma Holders Wote Wameandikiwa Hivyo!

Kuna Mtu Amenipa Fafanuzi hizi mbili Kwa Sisi Dploma Holders:-

1) Aidha Ni Kwamba First Selection Ni Kwa Form Six tu! Diploma Wote Ni Second Selection.

2) Au First Selection Ni Hile Waliyofanya NACTE kwa Hule Udahili Wa Mara Ya Kwanza Ambao Wameshafanya Selection Ambayo ilizuiwa Na TCU wasiitoe, Na Huu Udahili Wa Sasahivi Ni Wa Pili Kwa Second Selection
 
Jaman mim nafanya application diploma kwenda degree ila nikiweka reg. No. Wanaikataa kwamba haionekani kwenye database yao
 
Kwanza Kabisa Nikwamba Diploma Holders Wote Wameandikiwa Hivyo!

Kuna Mtu Amenipa Fafanuzi hizi mbili Kwa Sisi Dploma Holders:-

1) Aidha Ni Kwamba First Selection Ni Kwa Form Six tu! Diploma Wote Ni Second Selection.

2) Au First Selection Ni Hile Waliyofanya NACTE kwa Hule Udahili Wa Mara Ya Kwanza Ambao Wameshafanya Selection Ambayo ilizuiwa Na TCU wasiitoe, Na Huu Udahili Wa Sasahivi Ni Wa Pili Kwa Second Selection
Mkuu,
Nashukuru kwa ufafanuz huo japo una walakini.
Unaposema first selection ni kwa form six tu sio kweli maana hill tatizo mm pia limenikuta na nimemaliza form six mwaka huu.
Natia mashaka na taarifa yako yote kwa ujumla
 
Mkuu Umenikariri Hukunisoma Vizuri Na Kwa Umakini
 
Jaman mim naona tunapata shida bure kufikiria yasiyowezekana, kwa mim nilivyoielewa ile tarehe 31/8 inahusu watu wa waliomba diploma na certificate ila kwa kuwa na sisi tuliomba kupitia nacte na system tunayotumia ni moja ndiyo maana hiyo tarehe imeaffect mpaka profile zetu. Na uhakika haiwezi kuitwa second selection kama first selection haipo sasa hii kwetu iwe second selection hiyo first waliotoa kwa watu waliomba degree iko wap?
 
Kwanza Kabisa Nikwamba Diploma Holders Wote Wameandikiwa Hivyo!

Kuna Mtu Amenipa Fafanuzi hizi mbili Kwa Sisi Dploma Holders:-

1) Aidha Ni Kwamba First Selection Ni Kwa Form Six tu! Diploma Wote Ni Second Selection.

2) Au First Selection Ni Hile Waliyofanya NACTE kwa Hule Udahili Wa Mara Ya Kwanza Ambao Wameshafanya Selection Ambayo ilizuiwa Na TCU wasiitoe, Na Huu Udahili Wa Sasahivi Ni Wa Pili Kwa Second Selection
Mimi mbona diplomaa holder hawajaniandikia hivyo, na niliomba kupitia nacte
 
Hiyo yako wewe uliomba diploma!!! Na first selection ilishafanyika kwa walio omba mwezi wa tano! Sasa kinacho subiriwaaaa ni Secondon selection ambayo imeshamalizika na Majina wanasubiri ifike tarehe 31/8/2016 ndo yatangazwe kwa walio chagulia katika hii second selection!!

Wengine muwe mnasubiri vitu official ukikurupuka utapoteza pesa zako na nauli zako NACTE bado haijatoa majina kwa waliomba baada ya matokeo ya Form six kutoka na majina yanategemewa kutoka tarehe 31 mwezi huu sasa kama uliona umechaguliwa sehemu fulani na ghafla haupo tena ujue kuwa system ilikuwa ina Run na ni errors za kawaida kabisa ndo maana uliona hivyo so mpaka process ikamilike ndo utaona vizuri subirini wiki lijaro
 
Back
Top Bottom