Wakuu, Nimechaguliwa kujiunga na chuo cha ADEM bagamoyo kwa level ya diploma, naomben msaada kwa yeyote aliyechaguliwa hapo na ameshapata Join instruction au namba ya simu ya wahusika ili tufanye utaratibu wa kuipata. Msaada wenu ni wa thaman sana katika kulifanikisha hili...Asante.