Msaada wa kubadilisha chuo na kozi

Msaada wa kubadilisha chuo na kozi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,387
Reaction score
6,480
Nimechaguliwa kusoma Certificate in Accountancy Arusha (IAA). Napenda kubadilsha kusoma certificate in Law Lushoto. Nifanyeje?

Je inawezakana, if so nitumie taratibu gani kubadilisha?
 
Karibu IAA sup nje nje kama masihara vile kumbe ndo umedisco...
Ngoja waje watakujibu
 
Nimechaguliwa kuspoma certificate in accountancy Arusha (IAA), napenda kubadilsha kusoma certificate in Law Lushoto. Nifanyeje , Je inawezakana, if so nitumie taratibu gani kubadilisha.
Katika updates mbalimbali walizotoa nacte walisema "kwa wale wanaotaka kubadilisha vyuo na koz wasubirie mpaka second selection zitoke watatoa taratibu juu ya watu wenye matatizo kama yako.
 
Back
Top Bottom